Recent content by calendar master

  1. C

    JamiiForums Tanzania Je, ni uchawi au saikolojia?

    Jifariji
  2. C

    JamiiForums Tanzania Calender na mahusiano

    Kalender ya kulia na kushoto no terminology ya kuzitofautisha aina za calendar wala haina maana nyingine mkuu
  3. C

    JamiiForums Tanzania Calender na mahusiano

    Unachanganya mambo mkuu, calendar no knowledge ya kuujua uhalisia wako. Pia ujue kila kitu kinaongozwa na formula hivo calendar yako ya kuzaliwa ndo formula ya kuujua uhalisia wako
  4. C

    JamiiForums Tanzania Calender na mahusiano

    Shirk ni nin?
  5. C

    JamiiForums Tanzania Calender na mahusiano

    Wala si uongo, calendar inakupa reality kuanzia Tabia zako, vipawa vyako na destination yako, hivo ni jambo la kijifunza tu kuitumia
  6. C

    JamiiForums Tanzania Calender na mahusiano

    Kuna mada inaitwa ijue calendar yako ifuatilie ujifunze inavyork kisha uangalie calendar yako na wanafamilia
  7. C

    JamiiForums Tanzania Calender na mahusiano

    Calendar haina ubashiri Bali ni code ya uhalisia wako, pia haina masharti Bali inakupa wasaa was kujitambua wewe ni nani naturally kutokana na calendar yako ya kuzaliwa
  8. C

    JamiiForums Tanzania Calender na mahusiano

    Utofauti wa characters ndo unatupa aina tofauti za watu.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Calender na mahusiano

    Habari wakuu, Kalenda ya kuzaliwa imebeba uhalisia wa maisha yetu kwa ujumla, kila usichojua kuhusu wewe unaweza kukijua kupitia calendar yako ya kuzaliwa. Calendar ya kuzaliwa ni code ya siri zote kuhusu maisha yetu, kupitia aina 3 za calendar (right, left & mini calendar) ni rahisi kujua...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Je, ni uchawi au saikolojia?

    Nachokiona ktk majibu yako ni gape LA maarifa
  11. C

    JamiiForums Tanzania Je, ni uchawi au saikolojia?

    Wala sijacomplicate, nadhani gape LA maarifa linaeza tupa mabishano yasio na Tija, nimejaribu kueleza vile dhana ya uchawi inafanya kazi kwa material ambayo yapo proved scientifically ili upate starting point ya kutafakari zaidi.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Je, ni uchawi au saikolojia?

    Ukiwaza kama great thinker utaelewa nilichoandika.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Je, ni uchawi au saikolojia?

    Dhana ya uchawi ni complicated kuielewa ajili ya gape LA maarifa kwa watu, inahitaji mda na utulivu ktk kuijua vyema dhana hii.
  14. C

    JamiiForums Tanzania Je, ni uchawi au saikolojia?

    Wengi hatuielewi dhana ya uchawi coz hatuwazi nje ya box, dhana ya uchawi inatekelezwa kwa material ambayo yapo proved scientifically, mfano MTU anataka kukusababishia ugumba, ataandaa chemical compound ya mimea au viumbe wengine ajili ya kuleta madhara ktk mfumo wa uzazi, ila kwa kua yote haya...
Back
Top Bottom