JamiiForums Tanzania
Kutapeliwa
hela ikitoka bank inaingia kwenye akaunt moja kwa moja na unatoa kwa wakala wa mtandao husika, sasa hiyo ya kwenda kutoa kwenye bank tena ni suala jipya,
2. Miamala yote ya pesa za mtandao lazima zinakuja na namba ya muamala(risiti) ya Huduma uliyofanya amabyo inaambatana na muda was kufanyika...