Serikalini Wamekosekana Watu Wanaojua Crisis Management

Majeshi ya kisasa yepi unayoonyelea? Ya matekani au wapi?
Just juzi tu Raisi Trump na Angela Markel walisema kuwa walikosea kuvamia Iraq na Libya na kuwaondoa Saddam Hussein na Ghadafi

Jeshi lipi.la kisasa unaloongelea wewe linalisema ukweli jeshi la mgambo au?
mkuu nakushauri chutama, jamaa amekuzid mbali sana hata sisi watazamaji tunaliona hilo wazi, huwezi kuarge naye, unajidhalilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa Tanzania tuna James mbatia, ni mtaalam sana kwenye haya masula kama haya, na kuna watu nchi imewasomesha hadi urusi na israel kwa kazi kama hizi, ajabu yake wametupwa huko halmashaur badala ya kukaa ofisi ya waziri mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijapanic kabisa....Niko sober ....Ila siwezi ku-entertain mtu anakuja na hoja kuwa amepata knowledge kutoka kwa wakufunzi wa NATO...ina maana mtu huyu hayuko serious na hoja ...wapi na wapi na mambo ya NATO??
Sawa mkuu, ila hoja hupingwa na hoja yenye nguvu mkuu,pinga maelezo yake kwa hoja
 
Back
Top Bottom