Hapana hiyo mbn ni kawaida na ipo magereza yote Tanzania pindi mnapoingia tu mnakaba foleni mkiwa watupu aisee kama kuna kipengere kigumu jela ni hiko maana mtarushwa kichura kama dk 30 mpaka wakuone unatambaa ndo utaambiwa chukua nguo zako hapo hata kutembea shughuli wanadai eti kama ulikua na...
Bro sikupingi wala simpingi mtangazaji yoyote pale sababu wanakomaa ili mkono uende kinywani ila hiyo point yakusema Calypso anapiga ngeli fluently noo bana labda kama hufatilii pindi alikuja tanasha pale walitafutana kila saa unasikia tu bango nikubwa bango nikubwa bango nikubwa 🤣🤣🤣
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.