Recent content by CAD15

  1. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Wafungwa wanapata muda wa kuvuta bangi na kujamiiana kwa sababu hawafanyi kazi

    Tena wale wafungwa walipotoka gerezani ndio walianzisha upondaji kokoto na mawe milimani Mwanza ajira inayoendelea mpaka leo zaidi ya miaka arobaini sasa!
  2. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Wafungwa wanapata muda wa kuvuta bangi na kujamiiana kwa sababu hawafanyi kazi

    Miaka ya sabini kokoto mawe vilipatikana gereza la Butimba Mwanza. Wafungwa walipiga kazi kweli kweli na walilima mpunga na Gareza la butundwe chato ndio lilikuwa la kilimo . JPM yupo sawa wafanye kazi!
  3. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hongera Kenya(Kenyatta na Odinga) kwa kuuona mwanga na kufungua ukurasa mpya!

    Mbona kama wanarudi kwenye chama kimoja!
  4. C

    JamiiForums Tanzania Gharama mpya za kununua umeme wa LUKU hizi hapa!

    LUKU TANESCO 01319849574 GePG3EMDB46750695 8.5KWH 3035 4312 3930 9857 3033 Cost TZS 2,459.02 VAT 18% TZS 442.62 EWURA 1% TZS 24.59 REA 3% TZS 73.77 TOTAL TZS 3,000.00
  5. C

    JamiiForums Tanzania Abdularman Babu aliondoka Tanzania mwaka 1978 baada ya kukaa kizuizini

    Babu alikua mhaini
  6. C

    JamiiForums Tanzania Abdularman Babu aliondoka Tanzania mwaka 1978 baada ya kukaa kizuizini

    Babu na Nyerere nani alitangulia kuzaliwa
  7. C

    JamiiForums Tanzania Manyara: Rais Magufuli azindua Ukuta wa Mirerani uliojengwa na JKT, ampa milioni 100 mgunduzi wa Tanzanite

    Alichosema Mzee Ngoma ni kua huyo mwanae kahangaika kwa miaka 18 kufuatilia haki ya zake
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa Mtu Mwingine Ningesema Huu ni Wazimu!

    MMM wewe mtata sana ujumbe umefika . "Ila la kuangalia sana ni kuwa kama kiongozi wa kisiasa anapigwa na kujeruhiwa na watu wanakimbia kutoa damu ambayo labda hawakuwahi kufikiria kuitoa hadi mtu wanayempenda ameumizwa, itakuwaje kama "evil genius" mmoja akaamua kuwa hili la kuumiza watu...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa USA Leo

    NGABU KWA TRUMP
  10. C

    JamiiForums Tanzania HESLB siwaelewi katika ili

    INGIA KWENYE MTANDAO OLAMS HALAFU BONYEZA HAPO KWENYE RED Karibu! Please read the Application Guidelines for 2016/17 before applying. Click here List Of Applicants to Correct Necessary Information in Their Loan Applications. Click here
  11. C

    JamiiForums Tanzania Sakata la kubadili vigezo vyuo vikuu: TCU yakana tamko lake

    Wanasema walau uwe na Two principal passes (Two Ds) with a total of 4.0 points (where A = 5; B = 4; C= 3; D = 2; E = 1).
  12. C

    JamiiForums Tanzania Sakata la kubadili vigezo vyuo vikuu: TCU yakana tamko lake

    KWELI TANGAZO LIPO MPAKA SASA KWENYE TOVUTI YAO,TUSUBIRI UNDERGRADUATE ADIMISSION GUIDE BOOK NAONA BADO INAANDALIWA.Undergraduate Admission Guide Book 2016/2017
  13. C

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 24,000 Kutojiunga na kidato cha 5 sio inshu: Tupo busy tunatumbua MAJIPU

    Alimsomesha vipi kwa shida wakati elimu ni bure.au ile elfu 20 kwa mwaka?
Back
Top Bottom