Recent content by Cactusamani

  1. Cactusamani

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Hujaandika duka lipo sehemu gani, Instagram account, Namba ya simu. Mjasiriamali, tubadilike tuwe serious na kazi zetu
  2. Cactusamani

    Hatimaye ndoa yangu imevunjika

    Una sali? Basi mlilie Muumba wako, tubu pale ulipokosea. Isaiah 43:25-26 "Mimi, naam, mimi, ndimi niyafutaye makosa yako kwa ajili yangu mwenyewe, wala sitazikumbuka dhambi zako. Unikumbushe, na tuhojiane; eleza mambo yako, upate kupewa haki yako." Mke amependa zaidi ya dunia, kuliko kujua...
  3. Cactusamani

    Mpaka leo hajanitafuta, nakosa usingizi kabisa

    Huu ni uzwazwa umekufika ila bado hujajitambua. Kama angekuwa amekuelewa angekupa namba ya halali. Shtuka, na chapa mwendo
  4. Cactusamani

    Door To Door Salesperson Anahitajika

    Ni ujinga mwingi ulionao kichwani.
  5. Cactusamani

    Door To Door Salesperson Anahitajika

    Muuza bidhaa mlango kwa mlango anahitaji Eneo la kazi: Dar es Salaam Sifa: Mwenye uwezo wa kushawishi na kuuza bidhaa Mawasiliano: Tuwasiliane inbox
  6. Cactusamani

    I hate first days

    You are an introvert. You enjoy your "me" time. Miaka ya nyuma nilikuwa na tabia kama hiyo ilichangiwa kwa kiasi kikubwa na malezi. Ilikuweza kuchangamka ilinibidi ninywe pombe ila nikajakugundua pombe hainipi uhalisia wa tabia yangu. Hivyo basi, taratibu nikaanza kujifunza kujichanganya na...
  7. Cactusamani

    Natafuta nafasi ya kufanya mazoezi ya vitendo ya social work

    [emoji23][emoji23] SEMA KIMEUMANAAAAA. Mwaka mmoja baadae unatafuta pakufanya kwa vitendo bure. [emoji23][emoji23]
  8. Cactusamani

    Kiwanda cha Yebo Yebo kipo maeneo gani Kisemvule?

    Hicho kiwanda kimeungua kweli? Saa ngapi?
  9. Cactusamani

    ATCL shusheni bei ili mtengeneze soko kubwa la ndani, kwa namna hii mtapata faida. Kumbukeni the higher the price...

    Ndio ndege za low budget Ulaya zipo, ila wame-minimize costs of operations na nyingi za hizo ndege wamepunguza cabin space. Fastjet hawakuwa na positive balanced accounts na ndio maana mwisho wa siku, the business operations siezed na Tanzania wakaondoka kabisa. Kwa ndege zilizopo za ATCL...
  10. Cactusamani

    ATCL shusheni bei ili mtengeneze soko kubwa la ndani, kwa namna hii mtapata faida. Kumbukeni the higher the price...

    Sijui kama umeangalia swala la operational costs. Ndege kuruka ina gharama kubwa sana. Fuel, Pilots (ndege ikiruka na kutua wanalipwa), kuna flight attendants, Hanger Costs, Maintenance Cost. Hiyo narrative ya uchumi "lower the cost, demand iongezeke" haipo applicable kila sehemu. Ndege nayo...
  11. Cactusamani

    Shujaa amelala, ametuacha imara

    [emoji23] eti kujua senti ya nchi ipo wapi na kuipangia matumizi. Hiyo haikuwa kazi yake bali ubabe. Bajeti zinapangwa na wizara kisha kuoitishwa na bunge.
  12. Cactusamani

    Ni lini CCM watajua kuwa upinzani umemalizana na Magufuli?

    Umenena jambo la maana sana. Naona CCM wenyewe wanajenga mazingira ya kujimaliza. Ameshaondoka na hawezi kurudi, hata dunia nzima ingekuja leo kumwaga, baada ya hapo maisha yanaendelea Upinzani unaendelea, maendeleo yanahitajika. Kuna hali inajengeka akili mwa watu, kuwa hakuna kama yeye...
  13. Cactusamani

    Ni bidhaa gani unazoweza kuziuza ×1,000 kwa siku moja?

    Haha acha hizo hesabu za abunuasi, biashara haipo hivyo. Hakuna kutajirika kwa haraka kama unavyofikiria. Pili the higher the risk the greater the return. Sasa wewe una tuMillion 2 unataka utengeneza pesa sawa na Mtu aliyeweka Million 800 kwenye biashara...
Back
Top Bottom