KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,181
- 17,179
Unao uhakika yeye mwenyewe utamaduni wenu huo aliuthamini?mlishaomba kifo tuachen wenyewe na msiba wetu.mkae mkijua tuna utamadun wetu watanzania
Nisionekane nakufuatilia hapa, lakini imenibidi nisome michango yako hapa kujua unaposimamia. Sikuwahi kukusoma popote, na sidhani kama nitajibishana nawe tena.