Recent content by cache2

  1. C

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    watu wengi wanaongea story za kusikia na kusadikika bila statistics.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Actuarial Science na Geomatics

    duuh watu hamsahau
  3. C

    JamiiForums Tanzania Brand nyingi za TV za Bongo ni fake

    kwa samsung angalau kidogo QLED ila huwezi ifananisha na OLED ya LG
  4. C

    JamiiForums Tanzania Brand nyingi za TV za Bongo ni fake

    binafsi nazikubali sana LG hasa OLED. ukiipata hii brand utakuja kunishukuru baadae.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Kawaida maana hawa si ni wanasiasa hawana professional yoyote ndio maana huoni wakistaafu.
  6. C

    JamiiForums Tanzania TANESCO yaingia mkataba wa kukodi software kutoka India kwa USD 30M

    Mbona mifumo kama hii saivi serikalini watu wanafanya Tena sema tu hapa Kuna interest za watu. Na hata kama serikalini wakishindwa Kuna kampuni kibao tu za humu humu ndani pia zinafanya
  7. C

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza magodoro. Usafiri bure mpaka ulipo ndani Dar es Salaam

    Jitahidi ulete ya spring then hata mimi nitakuchangia. Halafu wewe kama mtaalamu wa magodoro brand ipi wewe unaipenda na ni nzuri bila kujali bei?
  8. C

    JamiiForums Tanzania Bandari zetu nazo ziwe chini ya Ofisi ya Rais kwa Usalama wa Taifa

    Shida kubwa yetu sisi watanzania ni mindset za kufanikiwa kupitia wizi. Kuanzia juu mpaka chini kila mtu akilala akiamka anawaza jinsi ya kupiga awe tajiri faster atambe mjini. Mimi nahisi mamlaka zipo nyingi ila akishajulikana tu nae anapozwa kidizaini ndio maana kila siku eti system...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Bandari zetu nazo ziwe chini ya Ofisi ya Rais kwa Usalama wa Taifa

    Ngoja tumalize eid kwanza tutarudi
  10. C

    JamiiForums Tanzania Unafahamu 21% ya waajiriwa wanatakiwa kuwa Wazanzibar?

    Hapa tulipigwa watu wa bara 21% ni nyingi sana. Bara tupo takribani 60mil. Population ya zanzibar inazidiwa na mkoa wa mwanza. So maximum hawa wazanzibari ni kama 5mil tu tena napo ni kubwa sana.so kwa hesabu ya haraka haraka ilibidi wapate maximum ya 8%. Pekee ya ajira.so hii ina maana kwenye...
  11. C

    JamiiForums Tanzania UTENGUZI: Rais Samia awatumbua Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi TASAC, Posta na Posta Masta. Avunja Bodi ya Wakurugenzi Posta

    Kuna mtu humu alikuwa analaumu anasema huyu mkurugenzi wao alikuwa wa hovyo sana.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Mabeberu, Vibaraka wa Mabeberu, Wazalendo wa Hayati Magufuli, na Mradi wa Bandari ya Bagamoyo

    Issue ya bagamoyo project hakuna alieikataa ila tuliambiwa na mkuu wa nchi awamu ya tano kwamba una mashart magumu mno ambayo hayana tija kwa nchi yetu. So la msingi ni kwamba upelekwe bungeni watu wausome na waujadili kwa kina then wananchi nasi tuwe kwenye tv tufanye analysis zetu pia. Wewe...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Mechi yake na Prisons FC Kombe la FA Kesho hofu yatanda Kikosini baaada ya Wachezaji hawa muhimu Kukosekana

    Mikia kati ya match mbili vpl wamepata point 1 .yanga match mbili amepata point 4. Je nani huwa hatoboi kwa prison?
  14. C

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu CCM: Matukio katika Picha - Aprili 28, 2021

    Chadema wao kila mwaka wanaibiwaga kura tu. Tangu nianze kujitambua nasikia chadema wanaibiwa kura mpaka leo.[emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom