Recent content by CABANA

  1. CABANA

    JamiiForums Tanzania Nafasi kazi ya ulinzi Zanzibar mwisho wa maombi tar 13 saa saba mchana

    Weka namba ya simu..nikutafute...kuja pm sijui wanafanyaje
  2. CABANA

    JamiiForums Tanzania Mhitaji wa chumba/nyumba/maeneo ya kuanzia Mbuyuni hadi Tegeta

    Chumba na sebule choo ndani maeneo hayo..napata mkuu....ni agent...
  3. CABANA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafata mume, mwenye sifa hizi

    Mimi niko tayari, nimechoka na upweke, karibu tujaze upendo..
  4. CABANA

    JamiiForums Tanzania Natafuta vijana wa kufyatua matofali

    Ndugu naomba namba yako ya simu...mimi natumia kitochi siwez ku pm. Naomba hiyo kazi aisee hata kesho naanza.
  5. CABANA

    JamiiForums Tanzania Kwa wale tunaongoja TBC kuna mpira hapa kweli?

    Ahahahahahahaha bongo tabu sana
  6. CABANA

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume arudishiwa Uwakili Tanzania Bara

    Hivi hata wale waliovamia ofisi zake za IMMA ADV. pale upanga nahisi walitumwa yule jamaa....yaani nchi sijui ilikuwaje?
  7. CABANA

    JamiiForums Tanzania Ijue Mikoa 10 ya Tanzania yenye Uchumi Mkubwa na Iliyoendelea zaidi

    Yaani Arusha imepitwa na Morogoro..mbwembwe zote zakitalii. Alafu wapi mkoa wa Pwani pamoja na maviwanda yote yale...
  8. CABANA

    JamiiForums Tanzania Bilioni 6 zilizokusanywa na halmashauri hazikufika benki? Halafu rais hajatumbua hata mmoja!

    Kama mama mwenyewe anaipokea ripoti...akishukuru blla kuonesha kukerwa..na ndio imepita ivyo.
  9. CABANA

    JamiiForums Tanzania Hii picha Ina tatizo gani

    Nchi hii ya ovyo kabisa...wizara ya michezo ijitathimini kwa hili.
  10. CABANA

    JamiiForums Tanzania CAG: Wastaafu na wenza wao wanaigharimu NHIF Tsh 84.7 billion kila Mwaka Bila Wao kuchangia

    Hapo hatuna C A G tuna chawa tu....hii inchi tunachezewa sana akili na serikali ya ccm.
  11. CABANA

    JamiiForums Tanzania CAG Kichere: Licha ya kupewa Ruzuku ya Tsh. Bilioni 31.55, ATCL imepata hasara ya Tsh. Bilioni 56.64, ongezeko la 61% kutoka hasara ya Mwaka 2021/22

    Akitaja matumizi ya mama safari ya nje ni kiasi ameshatumia ndio nitamuona mkweli.. Pia NA USD zilizofichwa nje ya nchi.
  12. CABANA

    JamiiForums Tanzania Mchezaji gani anastahili tuzo hii?

    Mkuu unamaanisha duniani au hapa bongo 2.
  13. CABANA

    JamiiForums Tanzania Kwanini fedha zetu Tanzania shillings zinashuka thamani kwa kasi sana toka 2300 kwa sasa ni 2572 kwa $1

    Sababu: mama anasafiri sana nje ya nchi na anakuwa na wasindikizaji wengi...wote hao wanatumia $ Tunaagiza sana vitu kutoka nje kuliko kuvituma..mfano.. Magari yanayoingia kila wiki bandarini yamelipiwa $ Viongozi kuwa na akaunti nchi za nje. Matajiri kuzificha $
  14. CABANA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Alijua ni bikira lakini alipojaribu hakukuta kitu

    Huyo jamaa itakuwa ni ww mwenyewe...kaa nae binti muulize kwa nn alikudanganya...jibu atakalokupa likupe uamuzi...
  15. CABANA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilisababisha mama mkwe kupewa taraka, kosa Moja tu

    Jinga jingine hili hapa...mwanaume wa ovyo kabisa.
Back
Top Bottom