Itakuwa ni ujinga kudhani eti NATO wamemshindwa huyu mpumbavu anayeiabisha Africa.Marekani ndiyo inchi yenye uwezo mkubwa wa kijeshi duniani inacho fanya sasa ni kutaka ionekane haisiki kutokana na tuzo aliyopewa Obama ila kiukweli Gadafi hajashindikana hata kidogo kama unabisha analia Nato...
Tsup! Ma men iz true I wil never come back bt Nimeshajua kuwa kuna watu wanasura zilizokunjamana kama ngozi ya goti au ugali wa jana na nimewafahamu kupitia comment zao their so jelous! By de way ma people thank kwa mapost yenu ijapokuwa I'm feel so humiliated.Bt nipo comfortable.ila UHANDSOME...
Come down ma men fact iz jana wakat na tafuta habari za Rostam aziz ndo wakaniletea hii forum mi ni mgeni humu jamvini huyo HANDSOME wa UDOM ndo yupi? Hivi kweli UDOM pale kuna ma handsome kweli pale? Plz don't humiliate me,help me pliz.
Mkuu pliz acha jazba.mi nimeandika utambulisho wangu ili nieleweke vizuri bt mi sio dogo I young handsome boy aged 26years old.kuhusu lugha nimeandika ili kufupisha tu mkuu na sio kama lugha inanisumbua.By de way mimi ninachoomba ni ushauri so pliz concetrate on what I 'm just asking hayo mambo...
Nape hamjui na hajamjua jk. kikwete ni m2 wa kutumia na kuacha hana tofauti na mtu anayetuane tumia condom akimaliza haja zake anaitupia mbali na kusahau fadhila zake.kamtumia lowassa,Rostam, sasa kawatuhumu kuwa ni magamba na hawafai ndani ya chama.Mwenzako akinyolewa zako tia maji but nampe...
mi ni mgeni na nimeijua jana blog I got ma fist degree from kualalumper univasity malesyia now on nipo kitaa natafuta job.But there iz two girls who drive me so crez huyu wa kwanza kiukweli ninampenda sana bt baada ya kumwambia hakunijibu ki2 then after tukaendelea na urafiki bt kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.