Kaka wa Karzai auawa kwa kupigwa risasi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kaka wa Karzai auawa kwa kupigwa risasi

Discussion in 'International Forum' started by Askari Kanzu, Jul 12, 2011.

 1. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Half Brother of Afghan President Is Killed in Kandahar
  By ALISSA J. RUBIN, CARLOTTA GALL and RUHULLAH KHAPALWAK
  Published: July 12, 2011

  KABUL, Afghanistan — The powerful half brother of Afghan President Hamid Karzai was shot dead on Tuesday by a close family associate, according to Karzai family friends who were nearby.


  06karzai_inline-popup.jpg
  Banaras Khan/Agence France-Presse — Getty Images

  Ahmed Wali Karzai, President Hamid Karzai’s half brother

  Ahmed Wali Karzai, the provincial council chairman for Kandahar, who was the most powerful person in the province if not all of southern Afghanistan, was killed by Sardar Mohammed, a regular visitor to Mr. Karzai’s residence in central Kandahar, witnesses said. Initial reports had said he was killed by a bodyguard.

  Mr. Mohammed was a commander of security posts near Karza just south of Kandahar city, according to Mr. Karzai’s driver. President Karzai held a press conference in Kabul with French President Nicolas Sarkozy barely two hours after the shooting and, speaking in a steady voice, confirmed his brother’s death.

  “This is the life of Afghan people, this sorrow is in every Afghan home, everyone of us has this sorrow,” he said.

  He then turned to Mr. Sarkozy and said, “We welcome Mr. Sarkozy and hope he forgives us for not speaking with a smile today.” President Karzai was a stalwart supporter of his brother, defending him strongly when he was accused by opponents and Westerners of involvement with the drug trade and corrupt security companies.

  The assailant was killed almost immediately by bodyguards, according to people close to Ahmed Wali Karzai, who asked not to be identified because of the sensitivity of the subject.

  The shooting happened at 11 a.m., according to witnesses. Mr. Karzai was shot twice in the head at point-blank range. A provincial official, Haji Agha Lalai, was in the next room when it happened and helped carry the slain governor on a makeshift stretcher to a car and accompanied him to the hospital.

  “I was holding him and I was not very sure he would survive,” he said. “It was confirmed in the hospital that he was dead.” The assailant shot him with a pistol from the front, he said.

  The motivation for his assassination was unclear. The Taliban claimed responsibility almost immediately, but several leaders in Kandahar said they doubted the claims.

  The killing took place as Mr. Karzai was receiving petitioners, provincial colleagues and friends at the house in central Kandahar that was the city’s political center of gravity as well as his residence. More than 60 people were there at the time of shooting, witnesses said.

  Full story
   
 2. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,313
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  watamalizana.
   
 3. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Drug dealer!? Hawafikagi,mbali. RIP
   
 4. Amir

  Amir Member

  #4
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Killed by bodyguard.Mbona haya mauaji yanafanana na kama vile ya savimbi na kabila wa DRC
   
 5. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,651
  Trophy Points: 280
  Onother world biggest Drama!This man USA was pointed him as a future Afghan president!Enteresting isn't it?!
   
 6. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Karzai nae anatakiwa kuwa makini Tariban ni noma hawa jamaa wakiamua kitu
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Jul 15, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,096
  Likes Received: 5,562
  Trophy Points: 280
  [TABLE]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"]Kisasi cha Kumuua Kaka wa Rais, Maiti Yatundikwa Sokoni[/TD]
  [/TR]
  [TR="bgcolor: #e1e1e1"]
  [TD]
  [​IMG]
  Maiti ya Sardar Muhammad ikiwa imetundikwa [/TD]
  [TD]Friday, July 15, 2011 3:43 AM
  Maiti ya mzee wa Afghanistan ambaye aliuliwa baada ya kumuua kwa kumpiga risasi kaka yake rais wa Afghanistan,Hamid Karzai, ilitundikwa sokoni kama kisasi kwa mauaji aliyoyafanya.[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"]Sardar Muhammad alikuwa mtu aliyeaminika sana kwenye familia ya rais wa Afghanistan, Hamid Karzai.

  Sardar kutokana na ukaribu wake kwa kaka yake na rais Karzai, bwana Ahmad Wali Karzai, alikuwa miongoni mwa wazee wa kikabila ambao walikuwa wakikutana na Wali Karzai muda wowote ule kujadili masuala mbalimbali.

  Siku ya jumanne, Sardar mwenye umri wa miaka 40, alifika kwenye nyumba ya Wali Karzai pamoja na wazee wengine na alikuwa na faili ambalo alimtaka Wali Karzai aliangalie.

  Walienda chumba cha pili wakiwa peke yao ili waweze kuliangalia faili hilo lakini hazikupata dakika nyingi Sardar alichomoa bastola yake na kumpiga risasi mbili Wali Karzai.

  Walinzi wa Wali Karzai waliwahi kufika kwenye chumba hicho na kumuua kwa kumpiga risasi Sardar ambaye alikuwa akijiandaa kumpiga risasi ya tatu bwana Wali Karzai.

  Walinzi hao kwa hasira na kulipa kisasi cha kuuliwa kwa bosi wao, waliitundika maiti ya Sardar kwenye mojawapo ya majengo yaliyopo kwenye soko lililopo katikati ya mji wa Kandahar. Maiti hiyo iliachwa ikining'ia hapo juu ya ukuta kwa zaidi ya dakika 20 kabla ya kuondolewa.

  Jana yalikuwa mazishi ya Wali Karzai ambayo yaliongozwa na rais wa Afghanistan, Hamid Karzai.

  Maelfu ya watu walijitokeza kumzika Wali Karzai lakini mazishi yake yaliingia dosari wakati mtu mmoja alipojilipua ndani ya msikiti na kuwaua watu watatu akiwemo mmoja wa maimamu wakuu wa Afghanistan, watu wengine 15 walijeruhiwa.

  Taarifa zaidi zilisema kwamba mwanaume huyo aliingia msikitini wakati wa sala ya kuisalia maiti akiwa amevaa kilemba ambacho ndani yake alificha bomu alilolitumia kujilipua.

  Taarifa hizo ziliongeza kuwa mwanaume huyo alifanikiwa kuingia na bomu hilo msikitini kwa kujiingiza na kujifanya yupo katika msafara mmoja na maimamu kwakuwa maimamu huwa hawasachiwi.

  "Huwa tunawaheshimu watu wanaovaa vilemba, hatukukisachi kilemba chake kutokana na heshima zetu kwa watu wanaovaa vilemba, ameisaliti heshima hii kwa kuficha bomu kwenye kilemba", alisema Afisa Usalama mkuu wa Kandahar, Jenerali Mohammed Naim Momin.

  Naye rais wa Afghanistan, Hamid Karzai akiombeleza kifo cha kaka yake aliwataka Waafghanistan waache kuwaua ndugu zao.

  "Ni rahisi kuua na kila mtu anaweza, lakini mwanaume wa kweli ni yule anayeokoa maisha ya watu", alisema rais Karzai.[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 8. C

  Cabaiser Member

  #8
  Jul 15, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huko ndo CHADEMA wanataka watupeleke jino kwa jino.Mungu epushia mbali.
   
 9. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #9
  Jul 15, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Afghanistan kufa kwao kama vile kuua Mbu tu
   
 10. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #10
  Jul 15, 2011
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,830
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Wakupime akili wewe maana sio mzima
   
 11. i

  ibangu Member

  #11
  Jul 15, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi kis
   
 12. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #12
  Jul 15, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  acha kuwasingizia chadema kwenye mambo yasiyo wahusu-ungesema CUF ndo watatupeleka huko-hapo ningekuelewa
   
 13. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #13
  Jul 15, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Naona mmeamua kusingiziana naona na wewe unawasingizia CUF, siasa za bongo bana
   
 14. i

  ibangu Member

  #14
  Jul 15, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi mtu wa miaka 40 ni mzee? mnamuita huyu aliyemuuwa ndugu yake Rais Karzai kuwa ni mzee, lakini ana miaka 40.
   
Loading...