Wananichanganya sana pliz naomba mnisaidie! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wananichanganya sana pliz naomba mnisaidie!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Cabaiser, Jul 14, 2011.

 1. C

  Cabaiser Member

  #1
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi ni mgeni na nimeijua jana blog I got ma fist degree from kualalumper univasity malesyia now on nipo kitaa natafuta job.But there iz two girls who drive me so crez huyu wa kwanza kiukweli ninampenda sana bt baada ya kumwambia hakunijibu ki2 then after tukaendelea na urafiki bt kila nikimkumbusha kuhusu jibu anacheka alafu anasema bado anafikiria so juzi kati ni kambana sana akanijibu Eti mi ni HANDSOME sana so eti ninamdanganya na haamini kama kweli ninampenda! Kiu kweli hajakosea coz I so handsome na hata nikivaa makafaulaya bado huwa na ng'ara sana and I proud of it.Nikajaribu kumbembeleza lakini wapi! Bas nikamchunia kama 3weeks mwenyewe akaanza tena mara kunibeep,sometimes ana tex bt nikimkumbusha anadai eti nina mtania coz mi ni HANDSOME sana na siyo type yake!huyu mwingine yeye ananipenda sana but simfili kivile japo ninashawishika kumpenda coz naona anamuelekeo ijapokuwa huyu wa kwanza ndo ninampenda zaidi !! Kiukweli wa kuu wananichanganya sana hawa mabinti plz help me.
   
 2. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,580
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  kumbe wanakuchanganya? Heading yako ndio imenisababisha kufungua hii post. Bye!
   
 3. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  I think you are still childish and selfish by the way this is not a BLOG it's a FORUM.
   
 4. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Dogo tafuta kazi kwanza halafu i wonder if huko Malaysia hii ndio lugha uliyokuwa unafundishwa i doubt it yaani chuo ulichosoma kinaitwa kualalumper univasity malesyia nimejaribu ku-google hata sijaona such kind of name sasa sijui hicho chuo kiko wapi.
   
 5. C

  Cabaiser Member

  #5
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu pliz acha jazba.mi nimeandika utambulisho wangu ili nieleweke vizuri bt mi sio dogo I young handsome boy aged 26years old.kuhusu lugha nimeandika ili kufupisha tu mkuu na sio kama lugha inanisumbua.By de way mimi ninachoomba ni ushauri so pliz concetrate on what I 'm just asking hayo mambo ya chuo hayakuhusu.
   
 6. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Ushauri tafuta kazi kwanza
   
 7. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Penda unapopendwa zaidi.
   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  Jul 14, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  Hii siyo spam kweli......mbona thread kama hii inajirudia rudia humu?
   
 9. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #9
  Jul 14, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mkuu tatizo lako ni dogo sana mi nafikiri sisi ambao sio ma HB hatunachangamoto kama hizi ingawa tunan'goa mabeatiful wa ukweli. Ma Handsome please msaidieni mwenzenu.
   
 10. francismaka

  francismaka Member

  #10
  Jul 14, 2011
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I presume wewe ndiye yule anayetumia username "handsome" the way unavoandika huwezi kukwepa.. Mtafute YOYO aliyeolewa na mzungu uongee nae hizo taka taka zako..
   
 11. Sabry001

  Sabry001 JF-Expert Member

  #11
  Jul 14, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,064
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Wewe c yule handsome wa UDOM kweli? Mbona mtiririko wa kazi zenu unafanana? Handsome, oh anaogopa, mara chuo,..kha! Stop being pathetic, 26 yrs afu unatuletea desa la kitoto hv? Aaaagh!
   
 12. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #12
  Jul 14, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Labda unajisifia na kujiweka juu
  Kupita kiasi dear...
  Unajua tena waswahili wasemavyo..
  kwa anae jikwaza....

  Polee
   
 13. S

  Siimay Member

  #13
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa kweli acheni nicheke jamani,hivi inakuwaje a grown up person who attained the age of majority uje kuandika huu upupu?we handsum nadhani unahitaji kupepewa mana statements yako haina mashiko!
   
 14. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #14
  Jul 14, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mimi si mtaalam sana wa hiki kilugha cha weupe, hizo red inaonyhesha huko Kuala Lumpur wazazi wenu ama serikali yetu inapoteza pesa tu kuwasomesha huko, bora hata sie wa St Mwanamboka tunaweza tukanyoosha kidodo. Tafuta kazi bwana handsome ama rudi malaysia ukasome tena ama kaenglish course katakufaa kimtindo au vipi? Subiri wakushauri wengineo tupo wengi sana hapa JF
   
 15. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #15
  Jul 14, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,460
  Likes Received: 3,715
  Trophy Points: 280
  ni chuo cha mahandsome............google handsome university utakipata
   
 16. S

  Siimay Member

  #16
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  handsome wa kijiji kama movie ya ray kigosi
   
 17. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #17
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  kama wewe ni handsome subiri wakutongoze, pia nahisi utakuwa nao wengi ndo mana huyo dada anajaribu kujiepusha na matatizo. Bwana mdogo acha kujiproud, mahandsome huwa hawajisemi, afu unadai una miaka 26, means you are old enough kufanya mambo ya kimaendeleo, sio kutangaza uhendisamu wako.

  pili kama unaona uhendisamu wako ni dili acha kufanya kazi afu uponyeshwe na maisha.
   
 18. C

  Cabaiser Member

  #18
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Come down ma men fact iz jana wakat na tafuta habari za Rostam aziz ndo wakaniletea hii forum mi ni mgeni humu jamvini huyo HANDSOME wa UDOM ndo yupi? Hivi kweli UDOM pale kuna ma handsome kweli pale? Plz don't humiliate me,help me pliz.
   
 19. Jomse

  Jomse JF-Expert Member

  #19
  Jul 14, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Humu JF hakuishi vituko.Kama wewe ni handsome kweli una wasiwasi gani?
   
 20. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #20
  Jul 14, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 866
  Trophy Points: 280
  Nikushauri k2 m2 wangu,apply chuo upya hapa bongo,uanze 1st yr,maana hyo elimu uloifata huko malaysia haijakukomboa bado..
   
Loading...