Recent content by c.c

  1. c.c

    Mkutano wa Lowassa WADODA ile mbaya

    Lowasa ni keki weweee acha kabisaaaaaaa
  2. c.c

    Yaliyojiri Jangwani, Dar: Mkutano wa kuhitimisha Kampeni za mgombea Urais wa CCM, Dr. Magufuli

    ulitaka nitumie vigezo gani kwani we hujasoma lipoti ya mkaguzi wa hesabu za serekali ? ivi nyie mkoje !! mbona mnajitoa ufahamu?
  3. c.c

    Yaliyojiri Jangwani, Dar: Mkutano wa kuhitimisha Kampeni za mgombea Urais wa CCM, Dr. Magufuli

    wizara yake inaongoza kwa ufisadi ndio ataweza kukomesha ufisadi wa tz nzima ? mmeshashindwa mkae pembeni tu hakuna namna
  4. c.c

    Mwanamabadiliko tuambie hali ilivyo hapo unapoishi

    Mi nipo ububungo huku Said cdm ndo mpango mzima ccm chaliiiiiii
  5. c.c

    Maoni muhimu kwa viongozi wa UKAWA kuhusu mawakala

    Yaani wewe gamba kweli kwanza mawakala wa ukawa tumevaa uzalendo wa kweli tuna uchungu na nchi yetu hatuhitaji hata kuziona hizo hela zenu tena bandia
  6. c.c

    Nitumie njia gani niridhike nikifanya mapenzi?

    Una pepo , nenda kanisa lolote la kiroho ukaombewe tatizo lako litaisha kabisa
  7. c.c

    Mshindi Oktoba 25 (mathematical analysis)

    mi naona bado makomeo kabebwa hapo azipate wapi kura zote hizo!
  8. c.c

    Kulala kwa Lowassa Msibani kuwe Funzo kwa Wapiga kura Tanzania

    mpotoshaji mkubwa ww mi nilikuwepo msibani hapo ni wakati mchungaji anaomba wote tulisinzia . ukome na ukome na ukome kwa uongo . ukirudia uongo wako Mungu akushughulikie
  9. c.c

    Kwa hili! Magufuli ushindi ni saa 4 asubuhi

    Da !!! mnajikaza kisabuni kweli poleni sana a day is coming
  10. c.c

    Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

    Nafikiri leo umejifunza siku nyingine hutarudia kuandika haya uliyoyaandika humu
  11. c.c

    Siyo ishara njema: Magufuli azomewa Mwanza

    we hunyi !!
  12. c.c

    UKAWA nendeni Mahakamani kesho 15/10/2015

    Ivi mnamtisha nani ?
  13. c.c

    Kutoka Dodoma: Sherehe za Kilele cha mbio za Mwenge, Rais Kikwete ahutubia

    mkwara huoo tutalinda kura tu
  14. c.c

    Magufuli apigilia msumari kwa mafisadi

    Escro !!! Twiga kupanda ndege !!! na utuambie baada ya fisadi Lowasa kutoka ccm yamebaki mafisadi mangapi huko ccm ? usitutie ujinga wewe sisi tunajua cha kufanya hatuhitaji maelekezo yako
Back
Top Bottom