Recent content by Bzmana

  1. B

    JamiiForums Tanzania hapa Dar, wapi naweza kupata hiace

    habari jf..? yard ipi ya magari naweza kupata hiace, kuna jamaa yangu anahitaji hiace isiwe used bongo. 3L, super loof, disel engine.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Usaili Tume ya Utumishi na Ajira

    Habari wanaJF? Leo nilikuwa pale Maktaba Complex kwa usaili wa kada fulani. Ilikuwa interview yangu ya kwanza kufanya na Utumish. Hawa watu wanaosaili pale Utumishi hakika ni watu wanaojua kazi yao, na ni wakarimu sana na humtia moyo msailiwa.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Usaili, kwa mtu aliyewahi kufanya interview Utumishi

    umenikumbusha nilishawahi kupigwa swali hili, nikaingia chaka kwa kutaja jina na historia yangu..
  4. B

    JamiiForums Tanzania Usaili, kwa mtu aliyewahi kufanya interview Utumishi

    kichwa cha thread chaeleza..? nini swali dogo la kupata ufafanuzi
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ajira Utumishi - Recruitment portal

    tan trade walishaita, mimi niliomba tatu nimeitwa moja.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ajira Utumishi - Recruitment portal

    majina wametoa kwenye website yao
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa kichaga mkoje?

    nenda uchagani kawaulize
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Malori 100 ya kwenda Congo na Burundi leo hii

    unapatikana mkoa gn?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Msaada Video calls hazikubali kwenye laptop yangu.

    natumia window 8 pro, kila napojalibu kutumia skype na facebook video call inagoma, msaada wenu please...!
  10. B

    JamiiForums Tanzania Cd na dvd haziplay kwenye DVD/CD Rom ya laptop yangu

    Cd na dvd haziplay kwenye DVD/CD Rom ya laptop yangu mwanzoni zilikuwa zinaplay lakini siku hizi nikiweka CD/DVD itazunguka sana kwa kasi then inastop, Naombeni msaada wenu
Back
Top Bottom