Hi wana jf,
Mi ni mdada mwenye umri wa miaka 24, dini yangu ni muislam,nimeajiliwa ktk taasisi ya kiserikali,muonekano wangu sio mfupi wala mrefu, mzuri kiasi na rangi yang si mweupe wala mweusi ni natural situmii mkorogogo na napenda maendeleo na napenda kujituma pia.napenda kuishi maisha ya...