Recent content by Bwiree

  1. Bwiree

    Urais 2020: Tundu Lissu Vs Dr.John Magufuli

    Minashauri agombee 2025 maana kwasasa akigombea atashindwa jpm hana ushawishi zaidi atatumia vibaraka wake tume ya uchaguzi na jeshi la police
  2. Bwiree

    Mwigulu Nchemba: Aliyemtisha Nape kwa bastola sio Polisi. Uchunguzi wa Lissu kushambuliwa unaendelea, tutatoa taarifa

    Mh! Nchembaaaaaaaa vipi brother yule muhalifu alovamia cloud's TV? Naye uchunguzi bado? Haya maigizo broooo nijua vizur ccm mnauwa watu sana kumlinda mkuu wa kaya nahiyo dhambi unayoifanya haitakuacha salama nchemba...... Eti alo mnyooshea nape bastola hakua polic . kuana soni brooooo acha...
  3. Bwiree

    Nani anagharamia matumizi ya Lema, Msigwa na Mbowe huko Nairobi?

    Acheni uccm Sent from my Y4 using JamiiForums mobile app
  4. Bwiree

    Nani anagharamia matumizi ya Lema, Msigwa na Mbowe huko Nairobi?

    Policcm bwana! Sent from my Y4 using JamiiForums mobile app
  5. Bwiree

    Hawakuwahi kujua kama LISSU ni mtu anayependwa na Watanzania kwa kiwango kikubwa hivi!

    Leo nimeami kumbe bongo movie huwa wanaogopatu kucheza auction Mbona lisu kapigwa 5lkn kapona Sent from my Y4 using JamiiForums mobile app
  6. Bwiree

    Hawakuwahi kujua kama LISSU ni mtu anayependwa na Watanzania kwa kiwango kikubwa hivi!

    Hahaha CCM nimzigo Sent from my Y4 using JamiiForums mobile app
  7. Bwiree

    Spika Ndugai: Lissu alishambuliwa kwa risasi 28-32 lakini zilimpata tano, awataka wabunge kuchangia nusu ya posho zao

    Mungu anawaona waliotekeleza tukio zima Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Bwiree

    Wako wapi viongozi wa dini? Je hawaoni na hili au hakuna la kusema?

    Viogoz wadini wako bize kuiombea serikali iendelee kuteka nakutekeleza mauaji kwa wapinzani wake. Wakishamaliza kutekeleza matukio wanafiki wakubwa wantokeza kwenye Vyombo vya habari kukemea tukio akati wamelitekeleza wao. Mungu anawaona hata wao hawatadumu milele wapumbavu kabisa Sent using...
  9. Bwiree

    Zitto Kabwe: Usiku wa kuamkia leo ulikuwa mgumu zaidi kwenye maisha yangu ya kisiasa

    Tangu 2015 taifa hili lilianza kumwaga machozi Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Bwiree

    TAFAKURI: Kwanini Serikali imekataa kugharamia matibabu ya Lissu nje ya nchi?

    Kinacho angaliwa ni usalama wa kiongozi wetu Tundu Lisu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Bwiree

    Nauza suruali za kadeti

    Naomba saiz 34 Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Bwiree

    Tuwe wakweli, mikataba huvunjwa na Baraza la Mawaziri si Waziri

    Sawa lakin nani anapendekeza uvunjwe? Kama si wazir mwenye dhamana? Tuwe wakweli anakotupeleka huyu mukuru mungu anamuona Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Bwiree

    LAAAH!! Ni hatari sana kuokoteza watu na kuwapa madaraka makubwa yenye maamuzi fikirishi!

    Yanayofanywa na wateule wa Rais yanabaraka za Rais yasingekuwa na baraka zake ange wachukulia hatua. Mfano mambo ya kijinga yaliyo fanywa na mkuu wa mkoa flani kuvamia ofisi za watu nakuiba documents za ofisi ni upumbavu tena bosi wake anamsifu Kwa maovu yake nakumwambia achape kazi asisikilize...
  14. Bwiree

    Enough is enough, Magufuli amelisababishia taifa hili hasara ya kutosha kwa maamuzi ya kibabe!

    Eti anajiita mzalendo wa taifa hili ajabu sana Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Bwiree

    Pikipiki Boxer BM150 inauzwa

    Nimepunguza laki 2 na nusu
Back
Top Bottom