Urais 2020: Tundu Lissu Vs Dr.John Magufuli

Ufipa na sarakasi za ajabuajabu, hivi kwa akili zenu mnajadili uchaguzi wa 2020? kwa hiyo rais wa mioyo tayari kashachuja kwenye mioyo ya bavicha?
Kwa hiyo Lowassa pamoja na kuchana mkeka wa 2015 hamumpi tena nafasi? mwoneeni huruma.
 
lisu ni mwanaharakati. Jamii itafaidi zaidi akibaki kuwa mwanaharakati. Hata kama Chadema ikachukua nchi, Lisu bado atabaki kuwa mwanaharakati, na wanaweza kudhani kuwa amewageuka wenzake! Usitegemee Lisu akae kimya eti kwa sababu Chadema sasa ni chama tawala na Rais ni Lowasa, no way! Watanzania naona bado hawajamwelewa Lisu. Ni mpiga filimbi mzuri kuwahi kutokea Tanzania na bara la Afrika. Jamii inapaswa kumlinda.
 
Minashauri agombee 2025 maana kwasasa akigombea atashindwa jpm hana ushawishi zaidi atatumia vibaraka wake tume ya uchaguzi na jeshi la police
 
Tuacheni Masihara,Huwezi Mlinganisha au Mshindanisha TunduLissu na Magufuli,TunduLissu hafai hata kuigwa lkn Magu anafaa kuigwa,TunduLissu hafamiki kama wengi wanavyodhania lkn Magufuli anafahamika 99.999999% Pia TunduLissu na chama chake(Chadema) hawana sera za kuwafanya wachukue Dola(Nchi) lkn Magufuli na chama chake(CCM) wana Sera za kufanya Dola(Nchi) iwe himaya tena ya kudumu!
 
Mmmh,ni mawazo yako!
 
Ila hawa wakosoa ni vizuri wabaki level za utendaji ndo wanafiti kule juu wanaweza pwaya mifano mmeona,kuna watu inatakiwa wawe chini ya watu ili mambo yaende vizuri.
 
Nadhani huu mchuano utakuwa mkali kuliko ule wa 2015...
Tundu Lissu kwa sasa ndiye anayeonekana kuwa mpinzani wa kweli wa awamu ya tano..
Mwanasiasa ambaye kwa sasa ana "huruma" ya jamii kutokana na yale yaliyomkuta...
Je,itakuwaje kama atagombea urais wa Tanzania 2020?
Apone kwanza majeraha ya risasi tumpiime kama ataweza mikikimikiki
 
Nadhani huu mchuano utakuwa mkali kuliko ule wa 2015...
Tundu Lissu kwa sasa ndiye anayeonekana kuwa mpinzani wa kweli wa awamu ya tano..
Mwanasiasa ambaye kwa sasa ana "huruma" ya jamii kutokana na yale yaliyomkuta...
Je,itakuwaje kama atagombea urais wa Tanzania 2020?
Usimshindanishe Tundu Lisu na vitu vya ajabu ajabu
 
Back
Top Bottom