Recent content by Bwire Emanuel

  1. B

    JamiiForums Tanzania Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Dah! sijaisoma nkiisoma ntatoa comment yangu. au co wakuu!
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu ni ugonjwa au?

    cugonjwa.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ushiriki wa JWTZ katika 'Operesheni Tokomeza'

    Yako juu ya uwezo wangu.
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tangu siku hiyo Meno ya mwanamke na mpira sina hamu navyo!

    Mh! Makubwa
  5. B

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe matukio ya kwenye kitabu cha "is it possible?"

    Kupitia kitabu hiki nilipenda lugha ya kiingeleza.
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume

    0759148350, 0785931455 barua pepe:emanuelbwire@gmail.com tuwasiliane. 4more
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serious: Natafuta mwenza(mume)

    Kama kweli upo naukweli. Wakile ulicho kiandika. Nimekutumi barua pepe, fungua usome nilicho kuandikia.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Wafungwa wa Kitanzania waliokamatwa na madawa ya kulevya Hong Kong wafunguka!

    Dah! Poleni ndugu zetu watanzania. Jifunzeni kutokuwa mapunda ya vigogo. MH: Idd Azzy lazima uyalipe madhambi yako.
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda Lakini naogopa kumwambia!

    Nimetokea kumpenda msichana mmoja hivi, kiukweli anavutia. Tatizo langu nikwamba naogopa kumwambia. Dada huyo anafanya kazi crdb geita. Nifanye nini? Kila nikimuona mo yo unafanya Pah! Dah amakweli mapenzi ugonjwa.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nape: Gazeti la Mtanzania wamepotosha kuhusu kauli yangu!

    Siwashangai ccm haswa nape. Wao waendelee2 na ubovu wao. Kwani wamefumbwa macho ya roho.
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wakuu nimempenda msichana sijui nianzie wapi.

    Nikweli, broo nami najua huna nia mbaya. Lkn hebu fikiria kama nisahihi kuwa na uhusiano na mtoto mdogo kama yule. Yaani hata kama unamsubiri, amalize shule bado si sahihi labda kama utamsubiri amalize PHD! Kuwa na mawazo sahihi tena, usimwekee malengo ya kumsubiri amalize 4m4 tu. Kwani sisi...
  12. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume hanifikishi kisawasawa

    Plz, and plz, wapuuze wanao kushauri uachane na Mumeo. Nikwambie. Zungumza naye kwa upole, tena mbembeleze sana. Lakin pia angalia namna ya kurudisha mwili wako wa zamani (mwembamba) maana si uongo ni kweli sisi wanaume wengi wetu hatupendelei wana wake wanene na wenye makario makubwa. Jaribu...
  13. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kosa ninalojutia maishani mwangu!

    Usiogope mdogo wangu kawaida2. Mbona una umia kuwapa totozy vijisenti? Ushauri wangu! Acha kuwatongoza ovyo. Ila tafuta mmoja mkweli na mwaminifu uoe nawewe uwe mwaminifu kwa mwenzio ili hivyo vidola ufanyie mashoping na matanuzi na wife. Hapo vipi!
  14. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania kuelekea kwenye HIV test kabla ya Ndoa jasho limeanza kunitoka

    Mmmh! Pole.
Back
Top Bottom