Ushiriki wa JWTZ katika 'Operesheni Tokomeza'


Free ideas

Free ideas

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Messages
3,065
Likes
637
Points
280
Free ideas

Free ideas

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2013
3,065 637 280
Kwa mujibu wa taarifa ya kamati iliyoundwa kuchunguza ufanisi wa oparesheni TOKOMEZA iliyofanyika hivi karibuni,na kupekekea baadhi ya mawaziri ama kujiuzuru ama kuvuliwa uwaziri,nina baadhi ya mambo ambayo nimefikiria na kuona kwamba ni mapungufu ama makosa ya ubunifu ama kulazimisha mambo ama kutofaham nini ni nini.

Katika oparesheni hiyo walihusika wanajeshi(JWTZ),zaidi ya 800,polisi,askar pori,Tanapa na idara nyingine za usalama na ulinzi pamoja na wizara ya mali asili na uvuvi.Kwa mpangilio ulivokuwa moja ya wizara hizo(kutoa ya ulinzi),ndo ilitakiwa kusimamia ama kuongoza oparashen hiyo kubwa.

Baadhi ya kashfa na malalamiko yaliyojitokeza ni kama ifuatavyo,

1. vifo
2. matumiz ya nguvu
3. kupiga,kujeruhi
4. usaliti wa baadhi ya wahusika wa oparesheni
5. ukiukwaji mkubwa wa haki za binadam
6. udhalilishaji, mfano wanafamilia kulazimushwa kuvua nguo na kufanya mapenzi Live nk.


Nisiende mbali sana nianze na mapungufu ya maandalizi ya oparesheni TOKOMEZA,moja kwa moja.

1. Kitendo cha kulihusisha JWTZ katika oparesheni TOKOMEZA.....,Unapolihusisha jeshi katika oparesheni yoyote na ukategemea oparesheni iendeshwe kusiasa/kiraia/kihisia/haki za binadamu/kimaadili n.k utakuwa umekosea sana.Oparesheni TOKOMEZA ilihusisha pia utafutaji siraha zilizo mikononi mwa watu bila vibali n.k.

Hakuna jeshi duniani linalofanya opareshen kwa ""tafadhali naomba"" ama ,,kubembeleza,,.jeshini ni amri na utaifuata tu hata kama unaona haiwezekani.inapotamkwa ''toa siraha ""haina maana mbili wala kubadili amri.,Lakini pia si rahisi kumwambia mtu ,,toa siraha,,na akaenda ndani na kuwaletea siraha kisha mkamfunga pingu na kuondoka nae.jeshini kuna mbinu ambazo kwa ambaye sio mwanajeshi anaweza sema haiwezekani lakini huwa inawzekana.

Jambazi unaweza kumpiga hadi ukaua lakini hakwambii alipoficha siraha,lakini utakapo mwambia afanye sex na mama yake hapo na dada na ndugu wakishuhudia lazima atasema alipofisha siraha.

kwa mbinu hizi na nyingine jeshi huwa linafanikisha malengo mengi ambayo yanakuwa hayawezekani kwa idara nyingine .

2. JWTZ, kutokupewa kuongoza oparesheni huku ikiwa imetoa idadi kubwa ya man Power ilisababisha idara nyingine zisijiamini na kujikuta wakiwaachia jwtz karibu kila kitu.wakati JWTZ wametoa washiriki zaidi ya 800,idara zingine zilitoa washiriki chini ya 450,hapa inajengeka picha kwamba kwa vyovyote jwtz ndo ilitakiwa kuongoza opareshen .na ndo mana taarifa zote zilikuwa zikitumwa kwa CDF badala ya muhusika.

3.Hakukuwa na haja ya JWTZ kushiriki opareshen ile kama malengo yalikuwa ni kuendesha opareshen kiraia ama tuseme peacefull . polisi walitosha kwenda na kusaka hizo siraha na meno ya tembo.

Ifahamike kuwa hakuna mwanajeshi anayefundishwa kuomba samahan.opareshen kwa jeshi inamaana tofauti na inavotafsiliwa uraini. Oparesheni kwa jeshi ni half war!

Ndo mana jeshini hakuna hata topic ya kutuliza maandamano,wala vurugu hizo ni kaz za polisi.wala hakuna kutafuta ushahidi jeshini.Na ifahamike kuwa hakuna mwanajeshi anaweza kumaliza masaa mawili anambembelza raia atoe siraha.!!

Kwa nilichoeleza hapo juu nahisi hakukuwa na haja ya kulishirikisha jeshi katika opareshen ile.na si kwamba kila kitu lazima jeshi lishiriki.Ukilishirikisha jeshi katika mambo madogo kama haya ambayo hata polisi,askar pori na tanapa wangeweza kumaliza ndo madhara kama haya yanatokea.

Ni mawazo tu unaweza kupinga pia, it's just Free ideas
 
Fadhili Paulo

Fadhili Paulo

Verified Member
Joined
Sep 1, 2011
Messages
3,235
Likes
87
Points
135
Fadhili Paulo

Fadhili Paulo

Verified Member
Joined Sep 1, 2011
3,235 87 135
Upo sahihi kabisa na hili tangu mwanzo watu wengi walionya sana kuihusisha JWTZ kwenye shughuli ile lakini serikali haikusikia na matokeo yake ndiyo haya. Tunao polisi wengi sana yanini kuwatumia wanajeshi? huwa sionagi mantiki ya kukimbilia kuwatumia wanajeshi angalia hata kule mtwara walipeleka wanajeshi wakati polisi wapo?!
 
Madela Wa- Madilu

Madela Wa- Madilu

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2007
Messages
3,073
Likes
57
Points
135
Madela Wa- Madilu

Madela Wa- Madilu

JF-Expert Member
Joined Mar 24, 2007
3,073 57 135
Tembo wauawe na Kinana kupigwa wapigwe Wanayalukolo hii inakuja kweli.

CCM kweli ni Chama Cha Majambazi.

JWTZ limekuwa jeshi la kutekeleza Ilani za CCM na si kulinda nchi.

Mtwara na Lindi zimegeuzwa kambi za jeshi na wananchi wote wako Mahabusu, Mkuu kiguu na njia sasa hivi yupo hapa kusafishwa KISUSIO ili afya imrudie tena.

Kama kagasheki ni mzigo kwa kutumia jeshi kulinda akina Kinana, Kikwete naye ni ZIGO lisilo bebeka kwa kutumia Brigedi nzima kulinda Biashara za Wachina kutimiza ahadi baada ya shingo ya kijana wake kukoswa koswa huko China.

Mwamunyange naye aachie ngazi.

Sasa hivi JWTZ wanadhani adui yao namba moja ni RAIA wote wa Tanzania.

Mipaka yetu ipo kama chekecheke kwa kuvuja wao wako BIZE kuua raia wasio na hatia ndani ya nchi.
 
Tuko

Tuko

JF Bronze Member
Joined
Jul 29, 2010
Messages
11,192
Likes
435
Points
180
Tuko

Tuko

JF Bronze Member
Joined Jul 29, 2010
11,192 435 180
Kilichoiponza serikali ni kuona "mafanikio" ya JWTZ kwenye kumaliza vurugu kule Mtwara... Lakini wajue kuwa issue ya Mtwara ilikuwa ni very isolated case ambayo hadi sasa hakuna mwenye uhakika imeisha au itaishaje...

Kiufupi ni kuwa huu ni udhalilishwaji wa jeshi la ulinzi...

Hii ndiyo nidhamu ya JWTZ

Mfano; ndugu Ali Nyenge (38) wa Kata ya Iputi, Wilaya ya Ulanga alidai kuvuliwa nguo, kumwagiwa maji yaliyochanganywa na chumvi na kuchapwa viboko huku mwanae wa kiume (11) akishuhudia.
Mfano; katika Kata ya Iputi, Wilaya ya Ulanga, mwanamke mmoja alidai kubakwa na Askari wawili (2) wa Operesheni Tokomeza Ujangili mida ya usiku. Vilevile, mama mmoja mkazi wa Kata ya Matongo Wilayani Bariadi, alibakwa na askari watatu (3) wa Operesheni Tokomeza Ujangili huku akiwa ameshikiwa mtutu wa bunduki
Diwani wa Kata ya Sakasaka wilaya ya Meatu Ndg. Peter Samwel, alidai kuadhibiwa akiwa mtupu kwa kupewa adhabu za kijeshi kama kuning’inizwa kichwa chini miguu juu, kupigwa kwa vyuma na kulazimishwa kufanya mapenzi na mti.
Mfano; katika Wilaya ya Itilima,Kijiji cha Mbogo Ndg Sita Rumala alidai kupigwa na kuvunjwa mkono alionesha wajumbe mkono uliokuwa umefungwa bandeji ngumu (P.O.P).
Ndugu Munanka Machumbe (24) ambaye ni bubu alipigwa risasi 3 zilizomjeruhi mapajani na kuharibu sehemu za siri wakati akijaribu kuwahoji Askari wa Operesheni kwa ishara sababu za kumtesa baba yake.
Mheshimiwa Spika, baadhi ya wananchiwalidai kuwa ndugu zao waliteswa kikatili kwa muda mrefu na bila kupatiwa huduma za lazima kama chakula, maji na matibabu (siku 1 -2) hadi mauti yalipowafika. Kwa mfano Ndg. Kipara Issa wa Wilaya ya Kaliua na ndugu Emiliana Gasper Maro wa Gallapo, Wilaya ya Babati
wengine waliodaiwa kupoteza maisha wakati wa Operesheni Tokomeza ni Ndg. Wegesa Kirigiti wa Kijiji cha Remagwe na Ndg. Peter Masea wa Kijiji cha Mrito (Tarime), Ndg. Mohamed Buto (Masasi) na Gervas Nzoya (Kasulu).
Pamoja na uthibitisho wa picha zilizotolewa na wananchi kuhusu kuteswa hadi kufa kwa Bi Emiliana Gasper Maro, Serikali kupitia Mkurugenzi wa Wanyamapori ilitoa Taarifa kwa Umma ikipinga Taarifa iliyorushwa na kituo cha luninga cha ITV
Hii ndiyo nidhamu inayosifiwa ya jeshi letu; JWTZ...
 
W

wabuyaga

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
1,685
Likes
36
Points
145
W

wabuyaga

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
1,685 36 145
Mkuu Free ideas,

Una haki ya kusema hivyo. Lakini umeeleza jeshini hakuna cha dscussion kama ilivyoagizwa ni hivyo, sasa SWALA ni kwamba hawakuelzwa majukumu yao ktk hiyo operation. Kama wanajeshi wanafanya walichoelezwa na makamanda wao na hawawezi fanya vingine basi wangepewa very clear mission basi haya mambo yasingetokea. Nina wasiwasi na hao viongozi wao hasa mkuu wa operation. Hawakuelezwa what should be achieved and under which conditions!

Kwa kifupi ni kwamba hata iwe jeshi kama kuna clear mission haya makosa hayawezi kutokea. Pili lazima tujue na viguma kwa watanzania kufanya vitu vya kutumia akiri na kuwaza zaidi. Watanzania hasa wale ambao wako ktk nagazi za uongozi iwe siasa au hata nje ya hapo SWALA LA KUTUMIA AKIRI NYINGI NA KUWAZA HALIPO what counts first ni je kuna CHOCHOTE HAPA!!!!!!!!

IT IS A SHAME KUWA NA WASOMI AMBAO HAWAWEZI KUTUMIA AKILI KIDOGO KUFIKIRI KABLA YA KUTENDA KITU. WASOMI WETU THEY CANNOT DELIVER ANYTHING AT ALL. HII NDIYO TANZANIA YA SASA. MWALIMU NYERERE MASIKINI AMEONDOKA NA TANZANIA TUNAYOYIJUA!!!!!
 
Last edited by a moderator:
J

Jasusi

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2006
Messages
11,506
Likes
246
Points
160
J

Jasusi

JF-Expert Member
Joined May 5, 2006
11,506 246 160
Upo sahihi kabisa na hili tangu mwanzo watu wengi walionya sana kuihusisha JWTZ kwenye shughuli ile lakini serikali haikusikia na matokeo yake ndiyo haya. Tunao polisi wengi sana yanini kuwatumia wanajeshi? huwa sionagi mantiki ya kukimbilia kuwatumia wanajeshi angalia hata kule mtwara walipeleka wanajeshi wakati polisi wapo?!
Hapa rais hawezi kukwepa lawama kwa sababu jeshi lisingeweza kutumika bila idhini yake.
 
Kigogo

Kigogo

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2007
Messages
20,563
Likes
1,604
Points
280
Kigogo

Kigogo

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2007
20,563 1,604 280
Naye jk ni wa kujiuzulu tu
 
M

mmakua

Member
Joined
Nov 2, 2013
Messages
54
Likes
1
Points
0
M

mmakua

Member
Joined Nov 2, 2013
54 1 0
Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vinatumika na Serikali iliyopo madarakani kulinda maslahi ya wachache,issue je wahusika wakubwa wa ujangili wameshughulikiwa,wakuu wa idara husika zilizoendesha operesheni wameshughulikiwa?Mnafaham kuwa baadhi ya wakuu wa idara kwny operesheni hyo wamepandishwa vyeo? Hii ndo TAnzania yetu ya kuwajibishwa wachache kwa maslahi ya wachache pia
 
Noti mpya tz

Noti mpya tz

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Messages
976
Likes
49
Points
45
Noti mpya tz

Noti mpya tz

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2011
976 49 45
Nakumbuka issue ya west gate nchini Kenya Jinsi wanajeshi walivyoiendesha badaae wakaiba vitu Ndani na kulilipua jengo la westgate
 
Malafyale

Malafyale

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2008
Messages
12,447
Likes
5,222
Points
280
Malafyale

Malafyale

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2008
12,447 5,222 280
Kilichoiponza serikali ni kuona "mafanikio" ya JWTZ kwenye kumaliza vurugu kule Mtwara... Lakini wajue kuwa issue ya Mtwara ilikuwa ni very isolated case ambayo hadi sasa hakuna mwenye uhakika imeisha au itaishaje...

Kiufupi ni kuwa huu ni udhalilishwaji wa jeshi la ulinzi...
Nyongeza!

Kama tume itaundwa kuchunguza uvunjwaji haki za binadam ktk fiasco ya Mtwara/Lindi dhidi ya bomba la mafuta itakuwa ni balaa zaidi ya hii ya ripoti ya Lembeli!

Operation ya Mtwara/Lindi iliendana na ubakaji,oporaji wa mali za raia,mauaji na hata kuwekwa vizuizini kwa wale wote walio onyesha kuipinga serikali!

Serikali haitakubali kuunda Tume huru Mtwara!
 
M

mosacha

Member
Joined
Jan 6, 2012
Messages
57
Likes
0
Points
13
M

mosacha

Member
Joined Jan 6, 2012
57 0 13
Huu ni udhaifu mkubwa wa CDF Mwamunyange na Kikwete wake!
Upo sahihi kabisa na hili tangu mwanzo watu wengi walionya sana kuihusisha JWTZ kwenye shughuli ile lakini serikali haikusikia na matokeo yake ndiyo haya. Tunao polisi wengi sana yanini kuwatumia wanajeshi? huwa sionagi mantiki ya kukimbilia kuwatumia wanajeshi angalia hata kule mtwara walipeleka wanajeshi wakati polisi wapo?!
 
Ndikwega

Ndikwega

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Messages
4,934
Likes
2,776
Points
280
Ndikwega

Ndikwega

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2012
4,934 2,776 280
Duuh,patamu hapo. Jakaya kafikia pabaya ICC inamngojea kwa hamu.
 
wife

wife

Member
Joined
Dec 14, 2013
Messages
9
Likes
1
Points
0
wife

wife

Member
Joined Dec 14, 2013
9 1 0
Wanatakiwa wahusika wafunguliwe kesi kwa mahakama malumu kama wao walivyokwenda na mahakimu huko kwenye tokomeza ujangili ili hukumu zao zifanyike mda malumu kama
 
Tuko

Tuko

JF Bronze Member
Joined
Jul 29, 2010
Messages
11,192
Likes
435
Points
180
Tuko

Tuko

JF Bronze Member
Joined Jul 29, 2010
11,192 435 180
Wanatakiwa wahusika wafunguliwe kesi kwa mahakama malumu kama wao walivyokwenda na mahakimu huko kwenye tokomeza ujangili ili hukumu zao zifanyike mda malumu kama
Mi nimesoma tena na tena ile taarifa ya Lembeli, kwa kweli itakuwa ni aibu kama serikali haitawachukulia hatua kali hao watesaji na wauaji...
 
K

kikule

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
217
Likes
30
Points
45
K

kikule

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
217 30 45
ccm na serikali yao hawana cha kutafta mtu wa kumtupia hili zigo kungekuwa na kaupenyo ungesikia chadema wanahusika,lakini kwa sasa jeshi lao ndo limeua.Shame on you gambaz
 
Mag3

Mag3

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Messages
10,195
Likes
8,961
Points
280
Mag3

Mag3

JF-Expert Member
Joined May 31, 2008
10,195 8,961 280
Serikali yoyote ile inayoamua kulitumia jeshi kupambana na wananchi wake ni ya kidhalimu na ya kifashisti. Jemadari anayeliruhusu jeshi kutumika dhidi ya wananchi wake ni wa kuchukuliwa hatua ikiwemo kuvuliwa cheo na kufikishwa mahakamani...huyo ni adui wa taifa na hana tofauti na kamanda wa jeshi la uvamizi. Kiongozi yeyote wa nchi anayeamuru jesho kufanya uovu kama huu ni wa kukamatwa na kufikishwa kwenye mahakama za kimataifa.
 
C

CHAZA

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Messages
7,146
Likes
2,707
Points
280
C

CHAZA

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2012
7,146 2,707 280
Ripoti ya kule Mtwara nayo ina madhila mabaya kwa mujibu wa Mtatiro leo Star Tv
 

Forum statistics

Threads 1,274,855
Members 490,833
Posts 30,526,000