Rais kutoa salam za rambirambi kwa mkuu wa mkoa wa Mwanza kwa Kifo cha Mabina ni sawa?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,867
Source RFA
Rais wa Tz kamtumia rambirambi mkuu wa mkoa wa mwanza jwa kifo cha diwani wa CCM na kijana aliyeuwawa na Mabina na kutoa wito wa raia kutojichukulia sheria mkononi na akisema wangetumia mahakama kutatua mgogoro huo.

Najiuliza rais katoa salam hizo kwa kuwa ni mwanachama waje au kwa kuwa ni raia???

Kama ni raia je ni raia wangapi wanakufa kwa kukosa haki na hatoi rambirambi??

Na kama ni mwanachama wake hapo sisemi....
 
Raisi alipaswa kuwataka watu watii amri za mahakama kwani kuenderea kufanya ujenzi na kupanda miti wakati kunakesi mahakamani ndo chanzo cha kifo cha Mabina.
 
Hajamlaani Mabina kwa kifo cha kijana kinda mwenye umri mdogo kuliko umri wa kesi husika???
 
Wote sawa tu! Tatizo lenu kusahau. Hamkumbuki jk anamnadi Mramba wakati wa uchaguzi mkuu 2010 hata kesi ya wizi wa huyo jamaa ikiwa bado mahakamani?
 
Source RFA
Rais wa Tz kamtumia rambirambi mkuu wa mkoa wa mwanza jwa kifo cha diwani wa CCM na kijana aliyeuwawa na Mabina na kutoa wito wa raia kutojichukulia sheria mkononi na akisema wangetumia mahakama kutatua mgogoro huo.

Najiuliza rais katoa salam hizo kwa kuwa ni mwanachama waje au kwa kuwa ni raia???

Kama ni raia je ni raia wangapi wanakufa kwa kukosa haki na hatoi rambirambi??

Na kama ni mwanachama wake hapo sisemi....
Na hata kama ametoa rambirambi kwa sababu ya uanachama, wanachama wangapi wameshakufa na hajawahi toa salamu za rambirambi...???
 
Salamu za Mh Rais zilikiwa sawa na balanced ssna kwa familia zote na kuagiza amani kwa kuheshimu sheria na kutumia kwa uangalifu silaha. Bravo Mh Rais
 
Source RFA
Rais wa Tz kamtumia rambirambi mkuu wa mkoa wa mwanza jwa kifo cha diwani wa CCM na kijana aliyeuwawa na Mabina na kutoa wito wa raia kutojichukulia sheria mkononi na akisema wangetumia mahakama kutatua mgogoro huo.

Najiuliza rais katoa salam hizo kwa kuwa ni mwanachama waje au kwa kuwa ni raia???

Kama ni raia je ni raia wangapi wanakufa kwa kukosa haki na hatoi rambirambi??

Na kama ni mwanachama wake hapo sisemi....

Si kila mtu anapata kitu fulani.
 
JK is shallower than the kiddie end of the swimming pool.

Wangetumia mahakama wakati keai iko mahakamani mwaka wa 15?

Mahakama zetu zinachangia haya matatizo. Halafu rais anasema ovyo.
 
mkuu wa mkoa ni mwakilishi wa rais katika eneo husika na aliekufa ni kiongozi ktk tarafa, diwani halaf ni wa chama chake pia, ni sawa tu yangoswe akiachiwa ngoswe
 
Source RFA
Rais wa Tz kamtumia rambirambi mkuu wa mkoa wa mwanza jwa kifo cha diwani wa CCM na kijana aliyeuwawa na Mabina na kutoa wito wa raia kutojichukulia sheria mkononi na akisema wangetumia mahakama kutatua mgogoro huo.

Najiuliza rais katoa salam hizo kwa kuwa ni mwanachama waje au kwa kuwa ni raia???

Kama ni raia je ni raia wangapi wanakufa kwa kukosa haki na hatoi rambirambi??

Na kama ni mwanachama wake hapo sisemi....

Vipi atakuwepo Mazikoni? Au atakuwa safarini nje ya nchi? Hiyo ijumaa?
 
Salamu za Mh Rais zilikiwa sawa na balanced ssna kwa familia zote na kuagiza amani kwa kuheshimu sheria na kutumia kwa uangalifu silaha. Bravo Mh Rais

Ndugu yangu MUSONI anabalance kwenye uharamia badala ya kutaka maelezo kutoka kwa wahusika (Mkuu wa Mkoa ,Mkuu wa Wilaya,Afisa Usalama wa Wilaya ,RPC,NA OCD wa mahali.) hii inasikitisha sana kwa kitendo alicho kifanya Mabina hakustahili salamu zozote kutoka kwa mkuu wa dola kwani ni mhalifu na kifo chake amejitakia mwenyewe hata hao waliokamatwa ni muda tu watakapofika Mahakani wataachiwa huyu jamaa alikosea sana kumuuwa yule kijana.

Kila kilichotokea baada ya yeye kumuuwa kijana ni kwasababu ya provocation...na kwa taarifa zinavyoonekana ni kwamba tukio zima lilikuwa wakati wa heat of passion so there was no time to cool the mind kwa wanchi ambao baada ya kuporwa ardhi walishuhudia maisha ya mwenzao ya kiporwa na mtu asiyetaka kutii amri ya Mahakama...Without being prejudice hizi ni kesi ambazo ningelikuwa DPP zisingelinusa mlango wa Mahakama. An abuser of the Court Process should not be allowed to benefit the entitlement and privileged of the Court.

Rais na viongozi wetu ama wana puuza washauri wao wa masuala mbalimbali kabla hawajatoa taarifa zao au Washauri wao ni mbumbumbu na vilaza wa kutupwa hivyo wana shindwa kuwashauri vema viongozi namna na masula ya kuzungumza bila kuonekana ku condone uovu au kumu expose Rais na Kiongozi husika kwenye Public ridicule.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom