Recent content by bwaxxlo

  1. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuhangaika miaka karibu 10 hatimaye Facebook wanataka kuniajiri

    Anafanya kazi FB. Nimeshaongea nao leo
  2. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuhangaika miaka karibu 10 hatimaye Facebook wanataka kuniajiri

    Sio bosi wangu bado - ila umeongea point na nimefuta picha. Sasa hivi napiga kazi na kampuni nzuri sana. Sidhani kama nitajiunga FB maana kampuni yangu iko close kuwa IPO. Nikihama kazi nitakosa mpunga mrefu 😄
  3. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuhangaika miaka karibu 10 hatimaye Facebook wanataka kuniajiri

    Nenda fb.com oune ina ku-redirect wapi. Kampuni nyingi wana public web address na private one. Hata kampuni nayofanya kazi tuna public na private. Inasaidia sana kujua kama email inatoka ndani au nje ya kampuni. Maana unaweza kuwa na customers unataka kuwapa email - kwa hiyo utawapa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuhangaika miaka karibu 10 hatimaye Facebook wanataka kuniajiri

    Huwa wana-search LinkedIn kutafuta engineers. Unaweza kuapply ila mara nyingi wanakutumia email wao. Au kama kuna mtu wa ndani akupe shavu la recommendation.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kwa kujua coding/programming, unawezaje kutengeneza pesa?

    Anza taratibu. Nenda Upwork | The World’s Work Marketplace for Freelancing au Hire Freelancers & Find Freelance Jobs Online kwa hela ya kuanzia. Unapata projects na ili mradi unamaliza kazi - unalipwa fresh. Kama unajiamini na ujuzi wako, basi fika: Toptal - Hire Freelance Talent from the Top 3%.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuhangaika miaka karibu 10 hatimaye Facebook wanataka kuniajiri

    https://www.facebook.com/business/learn/lessons/earn-money-in-stream-ads-videos
  7. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuhangaika miaka karibu 10 hatimaye Facebook wanataka kuniajiri

    Shukrani. Najua kuna matapeli ila this is real. Nimeconfirm maana kuna baadhi ya watu wanafanya kazi huko nawafahamu na wameconfirm kuwa huyu jamaa ni mwenzao. Google hilo jina mwenye utaona linkedin/twitter
  8. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuhangaika miaka karibu 10 hatimaye Facebook wanataka kuniajiri

    Nilianzia kujifunza programming mwenyewe hapo dar. Nikapiga kazi online kwa miaka kadhaa (soma baadhi ya posts zangu). Leo asubuhi nimepata hii email.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ma IT bongo sio matajiri?

    Ila Silicon Valley kodi ya nyumba ni kuanzia $4000/mwezi. Kikombe cha kahawa ni $8. Bongo kwa hiyo hela unaishi kama mfalme.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ma IT bongo sio matajiri?

    Ma-IT watanzania wako wengi. Check github ujionee mwenyewe kuwa wabongo wako wengi. Ila kwa kifupi shida ni moja; kama wewe ni software developer mzuri, hauna sababu ya kubaki bongo. Nchi kibao duniani zitakupigania na kukupa visa karibu bure. Nikupe mfano. Nilirudi bongo baada ya kusoma nje...
  11. B

    JamiiForums Tanzania mashine yangu inachukua mda mrefu kuwaka na hapo mwanzo aikua ivo je nifanyaje

    Computer ni kama mashine nyingine tu. Inafika kipindi inakuwa imezeeka. Kama mashine yako ina umri zaidi ya miaka 4 basi usishangae ikizeeka. Program mpya zinahitaji mashine mpya. Unless haujawahi ku-update hiyo mashine basi usishangae kama itaanza kupungua spidi. Kwa sasa hivi, search for...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Hivi Madini yalitoka wapi?

    Katika vitu vinavyonifanya niwe na aibu ya kuwa mbongo ni faraja yetu katika ujinga. Mtu anafurahia kuambiwa kuwa Mungu ndio sababu ya kila kitu. Kuanzia magonjwa mpaka madini. Kasome Geography kidogo na biology. Kuna vitu ambavyo hata mlei wa kawaida ataelewa tu. Kafungueni vitabu wakubwa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania khaa!hata mbele za watoto natetemeka!!

    Mwana, usiwasikilize baadhi ya vichaa humu ndani. Mimi niko chuo nafanya kazi kwenye research institute maarufu US. Haya mambo sio ajabu. Inaitwa anxiety/panic attack. Soma hapa kwa maelezo zaidi: Panic attack - Wikipedia, the free encyclopedia Mimi ni mtu ambaye nimefaulu vizuri na siku zote...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Hivi Madini yalitoka wapi?

    Madini ni molecules or elements ambazo zimebaki chini ya ardhi kwa miaka kadhaa kutokana na Geological history. Hakuna cha Mungu anapendelea wala nini. Vitu kama almasi ni carbon molecule ambayo ikiwa under intense pressure and temperature inatengeneza almasi. Almasi haina tofauti na graphite au...
Back
Top Bottom