DA HUSTLA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 3,663
- 3,882
Watu wa Mungu nawasalimu kwa jina la jamhuri.
Umekuwepo msemo eti ujijua programming vizuri utapiga sana pesa, lakini kila unayemuuliza unapigaje pesa hafunguki kabisa!
Sasa wataalamu hebu leo mtutoe tongo tongo, ukiiva vizuri katika coding unawezaje kupiga pesa? Tusaidiane vijana wapate motive tuupige ko umaskini.
Thanks.
Regards,
Da Hustla.