Baada ya kuhangaika miaka karibu 10 hatimaye Facebook wanataka kuniajiri

Hii email yenye extension ya fb.com inakuwaje hapo?
Nenda fb.com oune ina ku-redirect wapi. Kampuni nyingi wana public web address na private one. Hata kampuni nayofanya kazi tuna public na private. Inasaidia sana kujua kama email inatoka ndani au nje ya kampuni. Maana unaweza kuwa na customers unataka kuwapa email - kwa hiyo utawapa user@facebook.com. Wale wafanyakazi unawapa user@fb.com. Ni standard ya kampuni za tech
 
Kwann usianze kazi kwanza? Mapema hivi ushaanza kuanika email adress za mabosi wako wapya?

Sio bosi wangu bado - ila umeongea point na nimefuta picha. Sasa hivi napiga kazi na kampuni nzuri sana. Sidhani kama nitajiunga FB maana kampuni yangu iko close kuwa IPO. Nikihama kazi nitakosa mpunga mrefu 😄
 
Back
Top Bottom