Recent content by bwax

  1. bwax

    Mheshimiwa Rais tunaomba uondoe malipo ya overtime serikalini

    Katika kuhakikisha wafanyakazi wa serikali wanatumia muda wa kazi vizuri. Tunaomba Rais Magufuli afute utaratibu wa kulipa overtime serikalini. Itaonekana kama nawachukia watu lakini kiukweli hata hili zoezi la raisi kupunguza gharama za serikali, wafanyakazi hewa litafanikiwa vizuri zaidi...
  2. bwax

    eGA .go.tz domain zinasumbua kupatikana hewani

    smartfocus Sometimes it's difficult and you don't like it, but it makes you stronger. Invite criticism, confront it, find the value in it, and make it your friend and ally! Kuhudumia taasisi/clients 400 ni ndogo sana kwenye IT kama unaelewa namaanisha nini. I once worked as an IT Forensic...
  3. bwax

    eGA .go.tz domain zinasumbua kupatikana hewani

    smartfocus najua kwa uhakika kitu gani nauliza. Sina nia ya kuchafua reputation ya taasisi za watu. Na nilichouliza kinawahusu eGA na sio site zilizohostiwa nje ya eGA. Mimi na-support kazi wanazofanya eGA, ingawa watakuwa na challenge zao za hapa na pale kwa sasa kwa sababu bado wachanga...
  4. bwax

    eGA .go.tz domain zinasumbua kupatikana hewani

    Hi, eGA kuna issue gani? Naona kuna tatizo la kupata sites za .go.tz mara kwa mara. Ni muhimu wawe reliable kwenye availability ili kuongeza kuaminiwa.
  5. bwax

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga atenguliwa Uwaziri baada ya kuingia Bungeni akiwa amelewa

    Siku zote ni ngumu sana kujicontrol kucheza mziki ambao unausikia mara kwa mara. Iwe nyumbani, barabarani, kwenye migahawa au kwenye sherehe. At some point your unconscious mind itaurudia tu. Sasa omba usiucheze kwenye open space hatarishi. Maana ukijigonga tu, wenzio watadhani jipu na...
  6. bwax

    Shushushu (Afisa Usalama wa Taifa) ni mtu wa aina gani, anafanya nini?

    Movie nyingi huonyesha Majasusi/Spies wanaofanya kazi zenye kuhitaji kutumia nguvu ya mwili, ambao wengi hutokea jeshini. Na movie hizo ndio hupendwa na watu wengi hadi kutamani wao kuwa majasusi. Mfano, November Man, James Bond Series n.k. Lakini ieleweke kuwa spy sio lazima awe mpiganaji tu...
  7. bwax

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Nilitegemea kuona statement kama hii muda wowote kipindi hiki. Hivyo mmeprove kuwa kipindi hiki ndio hot kwa mauzo ya zao hili. Sasa nilitaka kuuliza, je kuna mtu yeyote ameshawahi kutumia ushauri wa wataalamu wa BALTON? au YARA? Maana nimeambiwa ukiwatumia hao, hakika utapata maximum...
  8. bwax

    This is Very bad that Tanzanian Portal is not optimized for mobile device

    What happened to a much budgeted website with lots of promises? www.tanzania.go.tz It is sad to say that in this modern world where everything is shifted to mobile devices, our own brand new website is not optimized for mobile devices. What you see on desktop PC is what you will see with...
  9. bwax

    Hii ni mara yangu ya kwanza Kusikia mgao wa Umeme usiotokana na matatizo ya maji au gesi.

    Kwa mara yangu ya kwanza kusikia mgao wa umeme usiohusisha ukosefu wa maji au gesi. Hongereni Tanesco kwa kutupa updates. Lakini bado naona hakuna Disaster Recovery Plan yoyote. Na hii ni mbaya endapo watu wenye nia mbaya kama al-shaabab wakiamua kushambulia mitambo yetu. Basi tutakaa gizani...
  10. bwax

    Jinsi ya kutambua location + direction ya mtu kwa kutumia simu (smart phone).

    kuna software inaitwa ispy https://play.google.com/store/apps/details?id=com.michael.feng.android.ispy Just try and see for your self.. Regards
  11. bwax

    Jamani naomba msaada wa link ya moja kwa moja ya ku-download adobe photoshop!!!!

    Try the following Link Download Adobe CS6 Trials: Direct Links (no Assistant or Manager) | ProDesignTools Adobe Community: Looking for direct download links for Creative Suite trial versions?
  12. bwax

    Tanzania ya 26 kutoka mkiani kwa umaskini duniani (IMF Report April,2013)

    Tanzania yawa nchi ya 159 duniani kwa umaskini (26 from Bottom). Ripoti hii imetoka International Monetary Fund World Economic Outlook Database, April 2013. These data are on Gross Domestic Product (PPP) Per Capita 2009-2013 Unaweza kusoma zaidi hapa: The World's Richest and Poorest Countries |...
  13. bwax

    Epidemic ya Blogs na Websites Bongo …Nyingi Lakini Ubora ni Zero

    gem08, Hizi site Welcome to Medical Stores Department | Medical Stores Department, The Official Website of Azam Football Club | Tucheze pamoja kwa furaha) nilizolist hapo nimedesign mwenyewe na nimekutana na vipingamizi vingi sana kwenye kazi hizi za website hapa Tanzania. Cha muhimu ni...
Back
Top Bottom