Recent content by Bwana

  1. B

    JamiiForums Tanzania Michuzi sio sawa: Uchakachuaji wa picha za ccm za Jangwani leo 9.6.12

    Jamani sitaki kuangalia picha wala nini ila nilikuwepo na watu walikuwa wengi saaaaaaaaaaaaaaaana. That's all. Achana na picha bali uliza tuliokuwepo. Watu walikuwepo wa kutosha. Mengineyo ni ushabiki tu.
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wema sepetu inatosha !

    SIAMINI KWAMBA WEWE ULIYEANZISHA HII POST HUJUI KUWA LIKUWA NARECORD MOVIE. lol.......
  3. B

    JamiiForums Tanzania John Shibuda na mgogoro wa Kauli ya kuisifia CCM; Kauli za wana CHADEMA

    Na sisi CHADEMA tumezidi kila kukicha tunafurahia ooh watu 100 wajiunga CHADEMA, ooh watu million 2 wamehamia CHEDEMA. Hivi hao watu hata hatujali kujua kweli wanaipenda CHEDEMA au ni kwavile tu tunataka population iongezeke? That is very bad. Wengi wao sasa ni kama akina Shibuda.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nassari: Sina nia ya kugawa nchi

    Kama ndivyo ulivyomaanisha basi naamini hakuna lugha ngumu kama kiswahili.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma-Tamko la J.Nassari kuhusu Tamko la NMC

    Usirudie tena kupayukapayuka ovyo.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Joshua Nassari MB.

    Huyu mtoto anaongea sana jamani si anyamaze????????????????? Mdomo ulimponza ulimi. Mbowe amemwambia bora akae kimya. Kama kukosea alishakosea.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kikwete afanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri - Aprili 2012

    kwakweli hiki ni kituko.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kikwete afanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri - Aprili 2012

    mie ndo sijamwelewa kabisa bora wewe umemwelewa naona.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kikwete afanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri - Aprili 2012

    utaendelea kumwona saaaaaaaaaaaaaana. Kwaheri mwenyewe.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kikwete afanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri - Aprili 2012

    very good indeed.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kikwete afanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri - Aprili 2012

    mi mwenywe namshangaa kwa kukurupuka.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kikwete afanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri - Aprili 2012

    Wee vipi??????????????? Hili jembe limesepeshwje? Lipo linadunda labda kama wewe mwenyewe ndo umesepeshwa. M,wanry yupo ndani ya baraza au umesoma na kusikiliza between the line?
  13. B

    JamiiForums Tanzania CCM siyo mama yangu-Maige!!!!!

    nimeipenda hii ya bwana twiga. Hahahahhahahhah
  14. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania mbeya nataka kitimoto

    Mwee umenikumbusha kitimoto cha Mbeya kitamu saaaaaaaaaaaaaaaaaaana. Mbona vipo kila mahali huko si unajua huko ndo waanzilishi wa huyo mdudu na wanampenda san tena bei rahisi sio kama Dar.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu CHADEMA Iringa na uongo wa TUNTEMEKE

    Sometimes tuwe tunakuwa wakweli. Iringa chadema sio kihivyoooooooooooo. Hata msigwa na akina chiku wanajua. Shukuruni tu ccm walivyo mess kumweka mama mbega na kumtoa mwakalebela otherwise hakuna kitu pale. Panahitaji kuimarishwa. Msigwa ilikuwa bahati nasibu. Acheni ugomvi imarisheni chama...
Back
Top Bottom