Michuzi sio sawa: Uchakachuaji wa picha za ccm za Jangwani leo 9.6.12

Mkutano wa leo ccm walikaa kwenye viti sasa mbona hizi picha wamekaa chini?
 
kweli nimecheki michuzi blog sikuamini
haiwezekani watu ktk picha moja wawe wanaangalia eneo tofauti.
lakini kwa vile ni mzee wa nja
na mda mwingi anasafiri na magamba na viongozi wengine wa kigamba
hana budi kuwabeba kwa njia yoyote ile
ili mradi mdomo uende kinywani.njaa itatumaliza wengi ikiwezekana hata kuuza mtu ili upate hela.
 
Mkuu Lokissa sijaona kutufe cha like......chukua tano

Yaani hawezekani nape anatoa hotuba na kinana kaangalia pembeni je ni bodyguard wake? maan ni kama alikuwa
anaangalia usalama wa sehemu nyingine

SOON MISUPU ANAWEZA KUZIPOTEZA HIZI PICHA MAANA NI AIBU AIBU.....
 
Last edited by a moderator:
Mnachunganya tu wengine ambao hatukwenda jangwani wala kuona kwenye Runinga. Wekeni basi hizo picha ambazo ni sahihi. Ambazo ni za leo na si za 2010. Wekeni ambazo hazijachakachuliwa. Yaani mtu unazungushia fulana iliyoandikwa 2010 unataka tuamini kwamba hao walikuwa kwenye mkutano wa kampeni 2010! Kwa hiyo watu hawavai fulani wala kofia za 2010 za CCM? Mbona uswabilini kwangu wengine wanatumia hizo fulana kuendea makanisani.
 
hata wakizitoa tayari sisi tushazicopy
uzuri ktk mtandao hakuna the right to be left alone
kila kitu unachoweka mtandao wenzio wanaona na uwezo wa kukopy wanao
na tutazitumia hizi picha against magamba and michuzi as well kwa kuhadaa wananchi.
Mkuu Lokissa sijaona kutufe cha like......chukua tano

Yaani hawezekani nape anatoa hotuba na kinana kaangalia pembeni je ni bodyguard wake? maan ni kama alikuwa
anaangalia usalama wa sehemu nyingine

SOON MISUPU ANAWEZA KUZIPOTEZA HIZI PICHA MAANA NI AIBU AIBU.....
 
Mkuu Lokissa sijaona kutufe cha like......chukua tano

Yaani hawezekani nape anatoa hotuba na kinana kaangalia pembeni je ni bodyguard wake? maan ni kama alikuwa
anaangalia usalama wa sehemu nyingine

SOON MISUPU ANAWEZA KUZIPOTEZA HIZI PICHA MAANA NI AIBU AIBU.....

Nadhani wewe ndo umechukua picha kwa Michuzi na kuanza kuzichakachua ili ujenge hoja yako.

Siasa za bongo usije tishika na watu na kadi ulizogawa, watu wanaweza badilika siku moja tu. We kamwulize Mrema (TLP),
 
Angalia hii picha kwa makini hasa huyu alovaa sweta nyekundu yenye kofia nyeupe katokea mara ngapi ktk hii picha?

attachment.php

Mnachunganya tu wengine ambao hatukwenda jangwani wala kuona kwenye Runinga. Wekeni basi hizo picha ambazo ni sahihi. Ambazo ni za leo na si za 2010. Wekeni ambazo hazijachakachuliwa. Yaani mtu unazungushia fulana iliyoandikwa 2010 unataka tuamini kwamba hao walikuwa kwenye mkutano wa kampeni 2010! Kwa hiyo watu hawavai fulani wala kofia za 2010 za CCM? Mbona uswabilini kwangu wengine wanatumia hizo fulana kuendea makanisani.
 
Mnachunganya tu wengine ambao hatukwenda jangwani wala kuona kwenye Runinga. Wekeni basi hizo picha ambazo ni sahihi. Ambazo ni za leo na si za 2010. Wekeni ambazo hazijachakachuliwa. Yaani mtu unazungushia fulana iliyoandikwa 2010 unataka tuamini kwamba hao walikuwa kwenye mkutano wa kampeni 2010! Kwa hiyo watu hawavai fulani wala kofia za 2010 za CCM? Mbona uswabilini kwangu wengine wanatumia hizo fulana kuendea makanisani.
yaani inamaana duplication ya watu ilivyofanyika hujaona? angalia watu wanavyojirudia rudia humo mlimozungushiwa
 
Red Giant unasema wanajirudia haya sawa. Sasa leteni ambazo hazijirudii yaani za kweli ambazo hazijachakachuliwa ili tyone na ku compare. Au leo picha hazikupigwa?
 
Last edited by a moderator:
Jamani sitaki kuangalia picha wala nini ila nilikuwepo na watu walikuwa wengi saaaaaaaaaaaaaaaana. That's all. Achana na picha bali uliza tuliokuwepo. Watu walikuwepo wa kutosha. Mengineyo ni ushabiki tu.
 
piicha zisikupe shida, wachakachuchue wasichakachue, ukweli unabaki pale pale, watu wamechoka,
Na tunchochusubiri ni katiba mpya. Na kuitoa CCM
 
Red Giant unasema wanajirudia haya sawa. Sasa leteni ambazo hazijirudii yaani za kweli ambazo hazijachakachuliwa ili tyone na ku compare. Au leo picha hazikupigwa?
kwenye jukwaa la picha kuna baadhi ya picha. inasemekana viti vimechangia sana watu kuonekana nyomi.
 
kwa jinsi nilivyotazama hizo picha,nimegundua kuwa zilikuwa za kampeni za urais mwaka 2010. Huyo Michuzi kahadaa watu katika blog yake uchwara. Bila shaka anafukuzia ukuu wa wilaya,maana kwa kazi kama hiyo ya kuhadaa watu kwa picha si bure
Oluoch huyu Michuzi kwa sasa ni mpiga picha wa Ikulu kwa maana kwamba yupo pale ofisi moja na Salva rweyemamu, pale tayari ni shavu la kutosha kuliko hata ukuu wa wilaya, Take it from me!
 
Last edited by a moderator:
Chadema;
Tuleteeni zenu mlizopiga; hamkukatazwa kwenda Jangwani kuisikiliza uzalendo

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Sijui leo imetokea nini nikaenda kubrowse kwa michuzi maana huwa siendi
nilichokuta sikutegemea mtu na professional yake ya mtaan ya kupiga picha
anadiliki kuchakachua hizi picha

Bro Michuzi unachakachua kwa manufaa ya nani? Njaa mbaya

Mod naomba mnisadia kuattach vizuri ikiwa zimekaa vibaya

Acha kuwapa watu mafumbo yasiyokuwa na maana. Kama wewe mwenyewe umeshindwa kuelezea mapungufu ya hizo picha basi tatizo ni lako na siyo la Michuzi. Unategemea watu wasome ubongo wako jinsi unavyofanya kazi ili kuelewa ulichobandika humu bila ya wewe kueleza kasoro ni nini? Watu kama nyie mnaboaaaaaa! Kudadeki!
 
Back
Top Bottom