Naomba niende moja kwa moja kwenye mada
Kwa utafiti mdogo ambao nimeufanya nimegundua maprofesa wengi ni wazee,vijana ni wachache mno.
Je, ni kwamba elimu ya wazee hawa ambao ndo wengi ni maprofesa ilikuwa rahisi kipindi hicho kuliko elimu ya sasa hivo ilikuwa rahisi kuupata uprofesa?
Au...
Jamani katika jamii zetu huku mara nyingi watu wanaokufa kwa UKIMWI huwa hawatangazi pale msibani kama marehemu amefariki kwa ugonjwa wa UKIMWI
Mtu mnajua kabisa kama ana UKIMWI lakini akifa pale msibani mtangazaji mtasikia akisema marehemu amefariki kwa ugonjwa mwingine tofauti kabisa,.
Je ni...
Wakuu habarini humu ndani..
Mwenzenu nimegundua kitu kuhusu wanawake wazuri sana na warembo. Hawa watu hawafai kuoa!
Kwanza asilimia kubwa wana roho mbaya hawawezi kuishi na ndugu, hawana akili ya maisha, ni malaya, sio wavumilivu ndani ya ndoa na wana kasoro nyingi mno.
Nilichogundua...
Habarini wakuu.
Kuna stori nyingi mtaani na pia kwenye mitandao yakijamii kumuhusu Benard Membe kuwa anakwamisha juhudi za Rais na pia anataka kugombea urais 2020 na hizi habari nasikia zimewashitua sana huko Lumumba.
Hivi katiba ya chama ya mtukufu kugombea bila kupingwa kwani haikupitishwa...
Habarini wanajamvi
Jana nikiwa nimekaa naangalia chanel yangu pendwa ya Emanuel Tv inayomilikiwa na mtumishi wa mungu Tb Joshua, nilipata mshtuko kidogo kumuona waziri wa zamani wa Mambo ya ndani Dr MWIGULU NCHEMBA akiwa ndani ya kanisa na akionekana mtu mwenye shida kubwa akiwa anasubili...
Brother acha kuzuga watu hapa jamvini huyu mbwa ni wako wewe mwenyewe maana inasemekana wewe ndo mchawi mkubwa wa hicho Kijiji.u sharoga watu kibao hapo.acha unafiki broo
Jamani naomba kueleweshwa nini maana ya unyanyasaji wa kimapenzi,nimekua nikisikia nchi za wenzetu hasa huko kwa Trump kuna watu wanakesi za unyanyasaji wa kimapenzi,.Je nahapa kwetu kuna kesi kama hizi?maana sijawah kusikia au hapa kwetu hakuna unyanyasaji wa Kimapenzi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.