Vazi la Makonda lazua mjadala hapa Moshi

Kitu ambacho kwa sasa kinanishangaza kwa huyu bwana sio mavazi maana hayana maana sana "utendaji wake wa kazi,magari anayotumia utasema analipwa mshahara wa 20M kwa mwezi na kiburi alichonacho vyote vinatoka wapi"

Mungu amuweke huyu mtu muda mrefu ili ajifunze kabla hajafa
 
Leo Mkuu wa Mkoa wa Dar ameingia ibadani katika kanisa kuu la KKKT hapa Moshi akiwa amevaa Suruali iliyozua minong'ono kuwa ya KIHUNI.
Baadhi ya Waumini waliopo hapa Ibadani wamesikika wakiuliza je angekufa babake angekwenda na vazi kama hilo?
Wengine walisikika wakisema vazi hilo hata katika mavazi yanayotakiwa kwenye Ofisi za Umma hayatakiwi iweje avae kanisani?
Waumini wengi wamesikika wakihoji kiwango cha nidhamu alichoonyesha Mkuu huyu kupitia vazi lake.View attachment 1092613
hiyo suluali siyo yake wame edit ni ya baunsa
 
hata yule aliyevaa ile barakashia kanisani hakutakiwa kuvaa aliposimama madhabahuni!
 
Makonda ameitwa madhabahuni ametubu na amejikubali kuwa ni mchafu, amepatanishwa na baba askofu na Mbowe, amaeumbuka atajifunza.
Hajatubu wala kukiri kosa, tena wala halijui kosa lake! Kiburi, kiburi, kiburi!
 
Leo Mkuu wa Mkoa wa Dar ameingia ibadani katika kanisa kuu la KKKT hapa Moshi akiwa amevaa Suruali iliyozua minong'ono kuwa ya KIHUNI.

Baadhi ya Waumini waliopo hapa Ibadani wamesikika wakiuliza je angekufa babake angekwenda na vazi kama hilo?

Wengine walisikika wakisema vazi hilo hata katika mavazi yanayotakiwa kwenye Ofisi za Umma hayatakiwi iweje avae kanisani?

Waumini wengi wamesikika wakihoji kiwango cha nidhamu alichoonyesha Mkuu huyu kupitia vazi lake.View attachment 1092613
Kinachoonekana nje ya mtu ndo kilichomo ndani yake...tunajua wanaovaa nguo kama hizi ni wa aina gani
 
....halafu niliona kama vile alikuwa naye anataka kujibu mapigo pale pale kanisani alipoombewa Msamaha na Mkuu wake wa Chama Chao Mapinduzi....Lakini Askofu akamtolea Nje kwa kumuambia pale ni Madhabahuni...!
Alikuwa hataki kabisa kwenda madhabahuni yule jamaa, yaani atapata tabu sana asipoacha kiburi.
 
Hivi unajisikiaje pale wenzako woooooooote wamevaa suti nyeusi lakini wewe peke yako ndio umevaa jeans lililotatuka?
 
Marehemu Shabaan Robert aliwahi kuandika ktk riwaya zake hivi, "Mwenyezi Mungu akitaka kumwangamiza mchwa humwotesha mabawa na kumfanya kumbikumbi" mwisho wa kunukuu.
mkuu umenikumbusha mbali sana mwalimu wangu pia aliwahi kusema msemo huu...
 
Akivaa barrack Obama OK....!Lakini Makonda Makelele kibao....
Baraka obama na wewe unamwona mtu au unafikiri anatutisha tungensema tu kwanza hawezi kuvaa vile. Ngoja nikutumie standing order ya mavazi ya watumishj wa umma alafu usema Makonda alikuwa Sawa. Kama unampenda mwambie ukweli, lile vazi si la Kiongozi kuvaa sehemu za heshima tena waziri mkuu yuko kama bosi na Kiongozi wetu wa juu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom