Waswahili hawakukosea pale waliposema "Duniani wawili wawili", yaani binadamu tunafanana.
Lakini ulishawahi kujiuliza kama unaweza kufanana na viumbe hai wengine tofauti na binadamu?? Mtizame huyo samaki kisha nambie anafanana na nani.
Masalkheri ndugu,
Wengi wetu hatupendi kukosolewa. Hii hutokana na kuogopa kuonekana mbaya na pengine kuachwa. Tabia hii hutufanya tulazimishe maisha yetu yaenande na ya watu wengine. Lakini tukumbuke, TUKO TOFAUTI. Unaweza kuchukia kitu fulani ila mimi ninakipenda. Na tutafahamiana vipi...
Ukweli mtupu. Si tu kwa watu mashuhuri, hata matatizo kwenye jamii zetu. Ukeketaji, ndoa za utotoni, unyanyasaji wa wanawake n.k Hata makala ya baba wa taifa iliyoandaliwa vema kwa lugha ya kiswahili sijui kama ipo..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.