Recent content by Bwana Kheri

  1. B

    Askari polisi Njombe apata cheo kwa kuhudumia ajali ya Mkuu wa Majeshi

    Hiyo ndio lugha ya kijeshi ndugu yangu. Muhimu ujumbe ufike tu.
  2. B

    Utawala unavyobadilika ndivyo chawa pia wanavyobadilika

    Katika utawala wa Awamu ya Nne ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuna watu walikuwa ni lulu jamani. Kila kitu kizuri mtaani ni chao. Kila jambo kubwa na nyeti ni lao. Nisemacho hichi, utamkumbuka huyu bwana Riz1. Alitamba na madaraka ya mzee yakamtambisha haswa. Ingawa mambo mengine alizushiwa tu...
  3. B

    Ni marufuku kuimba wimbo wa Taifa bila kibali maalumu cha Wizara ya Mambo ya Ndani

    Nashawishika kusema kwamba huenda ni mwanasiasa mmoja tu tahira asiyejielewa amezuia wimbo wetu wa Taifa kuimbwa sehemu tofauti tofauti ikiwamo kwenye shule zetu ambazo kwa kawaida somo la uzalendo huanzia hapo. Mwanasiasa huyo anashindwa kujua kwamba kuuzuia wimbo huo ni sehemu ya kuzifanya...
  4. B

    Julius Mtatiro uko wapi?

    Amekutuma useme ili atajwe tajwe hapa walau jamii isimsahau au wewe ndio Mtatiro mwenyewe umejitekenya na unacheka mwenyewe!
  5. B

    Muswada mpya wa vyama vya siasa CCM ijiangalie mara mbili mbili

    Leo ni Siku ya Uhuru. 9 December. Ni siku muhimu sana kwa nchi yetu. Pamoja na umuhimu huo, nawakumbusha Watanzania wenzangu. CCM na msiokuwa CCM. Chadema ama CUF, sote kwa pamoja tunapaswa kuuchukia muswada mpya wa vyama vya siasa kwasababu unatugawa Watanzania na hauna tija. Ingawa muswada huu...
  6. B

    Mchumba wangu anaomba pesa sana na vitu vya gharama kubwa

    Oa haraka huyo ni mke mzuri kwako, ukichelewa tu wanakuwahi wenzako.
  7. B

    Kwa kuuza gari la serikali kwa sh 950,000 tu Wazigua wa Handeni mmetisha

    Nimeshangazwa na habari zinazosema huko wilayani Handeni, mkoani Tanga, Halmashauri yao ya Mji wa Handeni, wameuza gari la kubebea wagonjwa kwa sh 950,000 tu. Hapa najiuliza lilikuwa gari au vyuma chakavu! Maana gari kweli mnauzaje kwa pesa hiyo hata kama lilikuwa bovu! Si tu mauzo yao...
  8. B

    Mhadhiri Vicensia Shule: Rushwa ya Ngono inatawala Chuo Kikuu DSM

    Kama hujaelewa wahi tamthilia unazoelewa, si lazima uelewe hilo.
  9. B

    Mhadhiri Vicensia Shule: Rushwa ya Ngono inatawala Chuo Kikuu DSM

    Wadanganyika mnakumbuka lile sakata la aliyewahi kuwa DC Korogwe Mheshimiwa Mrisho Gambo dhidi ya aliyewahi pia kuwa mwanasheria wa Halmashauri ya Wilaya Korogwe. Kwa waliosahau, yule mwanasheria alimletea dharau DC Gambo, akisema yeye ni mwanasiasa na wanasiasa wengi hawajasoma. Katika kujibu...
  10. B

    Ingependeza zaidi kama Maalim Seif Sharif Hamad angejiuzulu CUF kama hawezi kufanya kazi na Profesa Lipumba kwa maslahi ya chama cha CUF

    Kama kichwa cha habari kinavyosadifu hapo juu. Kwakuwa mzozo wa Profesa Ibrahim Haruna Lipumba mwenyekiti wa CUF Taifa aliyejiuzulu na kurejea kwenye nafasi yake hiyo bado ni mkubwa katika kambi mbili yani upande wa Lipumba na ule wa Katibu Mkuu wake Maalim Seif Sharif Hamad. Na kwakuwa Maalim...
  11. B

    Vera Sidika na Hamisa Mobetto hamjui kuimba fanyeni kitu kingine!!!

    Acha waendelee kuimba hata kama hawajui. Usiwakatishe tamaa. Kila mtu afanye kwa aonacho ni sahihi kwake. Wewe kama hupendi wenzako watapenda nyimbo zake.
  12. B

    Hatimaye nimecheza biko leo

    Nahisi kama huna imani vile, hivyo kushinda kwako itakuwa ngumu. Jaribu kuweka imani, utashinda.
  13. B

    Dkt. Tizeba aibua shangwe bungeni akiuliza swali la nyongeza

    Jamii Forums siku hizi imeingiza watu ambao hawapendi kujishughulisha isipokuwa kila kitu wanataka watafuniwe kisha wao wameze tu. Nikajua kwasababu upo humu, walau utakuwa unajua wapi kwa kupata swali la Dkt Tizeba, maana kila kisemwacho bungeni hurekodiwa kama sehemu ya kumbukumbu. Sema wewe...
  14. B

    Dkt. Tizeba aibua shangwe bungeni akiuliza swali la nyongeza

    Leo Mheshimiwa Charles Tizeba ameuliza swali bungeni kwa mara ya kwanza tangu uteuzi wake wa uwaziri utenguliwe na dkt John Pombe Magufuli. Kitu kilichonishangaza sana na makofi mengi aliyopogiwa na wabunge wenzake wakati anauliza swali lake. Makofi haya hajayapokea vizuri akiwa kama binadamu...
  15. B

    Kanifumania week ya pili sasa matendo yake kwangu yananipa wasiwasi

    Hakikisha unamtoa out. Toka naye mbali na eneo alilokufumania kwa siku mbili au tatu. Katika eneo zuri, tulivu. Ukiwa huko, muweke karibu, mtulize, mliwaze kadri utakavyoweza. Mkiwa huko tumia muda wako mwingi kuzungumzia unachotaka kufanya naye katika maisha yenu kama kweli mnazo ndoto...
Back
Top Bottom