Julius Mtatiro uko wapi?

Julius Mtatiro uko wapi?

Wakurya kipindi hiki mmetuangusha sana.
 
unakumbuka kipindi post ya waziri wa nishati ilipokuwa wazi zitto alivokuwa anasifia utawala wa jiwe
Katika watu ambao sikuwahi kudhani ni wachumia tumbo ni Mtatiro, nilijua heshima aliyopewa CUF ni kubwa na labda yeye ndiye angekuwa mrithi wa akina Lipumba na maalim Seif huko badae. Zitto peke yake ndio namuona atafia upinzani wengine siwaamini sana,.
 
Mtatiro yupo sahihi kwenda ccm kwa faida yake na kizazi chake
Eti mimi ni mpinzani unampinga nani?unatakiwa utafute kwanza fulsa katika maisha yako ya ujana
Mtatiro pale cafu alipotea njia kile chama ni chama cha watu wenye ndevu na vibedo

Chadema pale apawezi kwa sababu sera zao ni za kumsifu mbowe hakuna kumkosoa mwenyekiti

Ccm ni sehemu sahihi ya kutengeneza mutstakabali wa maisha yako ya mbeleni

Usiishi kwa kuiga watu pambana na maisha kwa maendeleo yako na familia yako
Siasa ni maisha ya kupokezana vijiti babu mbunge,baba mbunge na mama mbunge wewe usiye na jina tafuta kwanza maisha

ukiwachunguza wapinzani ni wale wale familia ya siasa tangia babu mbaka baba hapa unafanyika usanii tu watu wanapiga hella wajinga wanapoteza muda wao kushobokea vitu wasivyovijua..
 
Mtatiro alikuwa ale shavu kubwa sana ila wana CCM wakamwambia live Magu kuwa wameshamvumilia sana sasa inatosha. Naona magu anasubiri upepo upite ampe kashavu ila kwa sasa kunafukuta sana!
 
Katika watu ambao sikuwahi kudhani ni wachumia tumbo ni Mtatiro, nilijua heshima aliyopewa CUF ni kubwa na labda yeye ndiye angekuwa mrithi wa akina Lipumba na maalim Seif huko badae. Zitto peke yake ndio namuona atafia upinzani wengine siwaamini sana,.
Zitto atafia upinzani kama Magu ataendelea kumkazia hivi lkn ingekua enzi za JK wala Zitto asingekua mpinzani haswaa.

Unakumbuka saga lake na Chadema?
 
unakumbuka kipindi post ya waziri wa nishati ilipokuwa wazi zitto alivokuwa anasifia utawala wa jiwe
Ha ha ha ha Zitto nae kwa hiyo alikuwa anamendea uwaziri wa nishati
 
Amekutuma useme ili atajwe tajwe hapa walau jamii isimsahau au wewe ndio Mtatiro mwenyewe umejitekenya na unacheka mwenyewe!
 
Wanaume wasio na misimamo ni mizigo kwa taifa
 
Back
Top Bottom