Recent content by Bw.Daffa

  1. Bw.Daffa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wengi siku hizi ni wahuni sana

    Dah I Miss MMU
  2. Bw.Daffa

    JamiiForums Tanzania CCM,adui namba moja wa mzanzibar

    Mkuu uchochozi huu[emoji23][emoji23]
  3. Bw.Daffa

    JamiiForums Tanzania Utunzaji na Uhifadhi Endelevu wa Mazingira na Maliasili Tanzania

    Swala la mbadala wa kuni na mkaa likipata ufumbuzi wa kudumu laweza kusaidia sana kuokoa misitu yetu.
  4. Bw.Daffa

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha mbogamboga - Kanuni za kukuza mboga

    Ahsante sana Mkuu. Ubarikiwe kwa Elimu uliyotupa
  5. Bw.Daffa

    JamiiForums Tanzania Unaifahamu vipi CocaCola?

    Nimejifunza Kitu, Asante Mleta Uzi na Wachangiaji Wote
  6. Bw.Daffa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemtongoza akanijibu ana boyfriend, nimechanganyikiwa

    Kukuambia Kwamba Ana Boyfriend Haimaanishi Kwamba Hakupendi. Swala la Msingi Ulilofanya la Kumueleza Ukweli wa Moyo Wako Ni Nguzo Yako Muhimu. Good thing ni kwamba, she's still close to you and moreover, she smile at you! Hapo upewe nini tena. Fanya hivi, Endelea Kuwa Naye Karibu, Epuka...
  7. Bw.Daffa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Punyeto haiwezi kumaliza hamu ya kufanya mapenzi na mwanamke

    Hahah.. Umenichekesha Sana Mkuu
  8. Bw.Daffa

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua tofauti ya crowd raising na deci

    Crowd sourcing au raising ni harambee ya kuchangia pesa kupitia mtandao. Ni njia mojawapo ya kuraise capital.. Kwa wenzetu ni swala official na kuna website maarufu sana kwa kazi hiyo sema kibongo bongo kwa kuwa tushang'atwa na nyoka kama DECI, bas hata tukigusa na jani tu tunashtuka na kuogapa.
  9. Bw.Daffa

    JamiiForums Tanzania Orodha ya mashirika ambayo graduates wengi wa tanzania hutamani kuajiriwa.

    Ila Kweli, Hata Mimi Ningependa Kufahamu Mkuu. Na Ajira Zao Zinatokaje? Mpaka Upitie JKT au Unajiunga Moja Kwa Moja Wataenda Kukupa Mafunzo Maalum Kwenye Chuo Chao?
  10. Bw.Daffa

    JamiiForums Tanzania Jifunze Kwa Annie:Binti Milionea Aliyeacha Kuajiriwa na Kuanza Kilimo

    Hakuna haja ya kumtafunia mtu kila kitu. Naamini ujumbe unatosha kumu inspire mtu na achukue hatua za kutafuta elimu zaidi. Ujumbe mzuri, I'm inspired!
  11. Bw.Daffa

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuifahamu B.A. Economics ya UDSM

    Ni Kweli, Umemjibu vizuri mkuu. Kusota mtaani ni jambo la kawaida na ukiliweka mbele sana waweza kuachana na career yako ambayo unataka kuisomea. Na haijalishi kozi, waliochukua BAED NA BED karibia mwaka mzima wapo home, na hawajajua hatima yao mpaka sasa. Ni kujipanga tu
  12. Bw.Daffa

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuifahamu B.A. Economics ya UDSM

    Unakua MCHUMI. Unaweza kuajiriwa kama mchumi kwenye halmaishauri za mikoa na wilaya, unaweza kufanya kazi kwenye taasisi za fedha, ngo, au Kama wengi walio na ndoto za benki kuu waweza kuajiriwa pia. Si kozi mbaya japo waweza sota mtaani kidogo.
  13. Bw.Daffa

    JamiiForums Tanzania President John P. Magufuli's next 1,600days: From Bulldozer to Mastercraftsman?

    Good Analysis. In my simplest word to JPM is that.. We, many Tanzanians are confotable with his spoken intention. We are very eager to be middle income country with good industrial base. The only thing that drive us to think in different way against him is 'his entire intention' which is...
  14. Bw.Daffa

    JamiiForums Tanzania Karibu tushauriane juu ya nini cha kufanya na matokeo yako ya kidato cha 6

    Habari Eric. Watu Wengi Chuo Wanaangalia Vitu Vifuatavyo -Interest yako. Yani ungependa kusoma nini? -Mkopo. Kuna Kozi ni Nzuri ila priority zao kwenye mkopo ni ndogo sana. Kozi karibia zote za biashara including hiyo Human Resource huwa hazina kipaumbele. Hata Law. Kwa msingi unaeza kuta mtua...
  15. Bw.Daffa

    JamiiForums Tanzania PhD ya Magufuli na wanasiasa wengine zichunguzwe upya!

    Una Maono Mazuri Sana Mkuu! Naunga Mkono Hoja Yako
Back
Top Bottom