Recent content by buyoya419

  1. buyoya419

    JamiiForums Tanzania Azam pay, Sellcom , Snippe na Zeno pay zote na Intergrate within 24 hrs

    Selcom Gharama zake zikoje
  2. buyoya419

    JamiiForums Tanzania Msaada namna na kuondoa watuamiaji kwenye router ya airtel 5G

    Kwa wauzaji wa Internet WI-FI panua biashara yako upate faida kubwa bila kutumia nguvu nyingi kwa kutumia mfumo wa vocha unawomuwezesha kuwauzia wateja wako wifi kwa kumpa vocha na mfumo wenyewe unawawekea security, hakuna kuscan kwa mtu yeyote anapojiunga kwa vocha Mfumo wa vocha unakazi hizi...
  3. buyoya419

    JamiiForums Tanzania Biashara ya wifi internet router mtaani

    Kwa wauzaji wa Internet WI-FI panua biashara yako upate faida kubwa bila kutumia nguvu nyingi kwa kutumia mfumo wa vocha unawomuwezesha kuwauzia wateja wako wifi kwa kumpa vocha na mfumo wenyewe unawawekea security, hakuna kuscan kwa mtu yeyote anapojiunga kwa vocha Mfumo wa vocha unakazi hizi...
  4. buyoya419

    JamiiForums Tanzania Tengeneza hadi 50,000/= kwa siku kwa kufanya biashara ya kuuza internet kupitia WiFi kwenye maeneo yenye mkusanyiko

    Kwa wauzaji wa Internet WI-FI panua biashara yako upate faida kubwa bila kutumia nguvu nyingi kwa kutumia mfumo wa vocha unawomuwezesha kuwauzia wateja wako wifi kwa kumpa vocha na mfumo wenyewe unawawekea security, hakuna kuscan kwa mtu yeyote anapojiunga kwa vocha Mfumo wa vocha unakazi hizi...
  5. buyoya419

    JamiiForums Tanzania Je, unahitaji kumiliki simu ya ndoto yako kwa bei nafuu? Usiache kupitia huu uzi

    Mna redmi note 14 pro plus mnauzaje
  6. buyoya419

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwekezaji wa kuwekeza milioni 50 katika Hotspot Business, mtaji utarudi ndani ya miezi 6

    Kwa wauzaji wa Internet WI-FI panua biashara yako upate faida kubwa bila kutumia nguvu nyingi kwa kutumia mfumo wa vocha unawomuwezesha kuwauzia wateja wako wifi kwa kumpa vocha na mfumo wenyewe unawawekea security, hakuna kuscan kwa mtu yeyote anapojiunga kwa vocha Mfumo wa vocha unakazi hizi...
  7. buyoya419

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni material gani nzuri kwa skimming ya nyumba baada ya kupiga plasta

    Naombeni picha ya coral decor Maana naona zipo kibao zinanichanganya ipi nzuri niskim kijengo changu
  8. buyoya419

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Internet mtaani

    Hio biashara inahitaji mtaji si chini ya 1m kwa location 1 ili uwapate watu wengi Access ya internet unatumia kampuni ipi Wifi management system unatumia vifaa vipi vya kugawa gb n.k Access point,router Ukitaka kuunganishwa nitafute 0710599055
  9. buyoya419

    JamiiForums Tanzania Naenda kununua bati za king líon kutokana na bajeti yangu nipeni ushauri kabla sijatindinganya mambo...

    Simba dumu nazo mna maoni nazo gani nazo hazidumu au
  10. buyoya419

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Fast charger original

    Shida unaweza kuuziwa chaji yenye watts nyingi ikawa tofauti na simu yako ikapeleka slow
  11. buyoya419

    JamiiForums Tanzania Ramani, makadirio, Elimu na ushauri kuhusu Ujenzi

    Hivi kuna tofauti gani katika boma fundi anapojenga tofari 10 akafatia lenta akamalizia na 3 za mwisho Na anayejenga tofari 11 akafatia lenta akamalizia 3 za mwisho Na pia inawezekana fundi akajenga 10 akaweka lenta juu akamalizia 4 na sio tatu na ipo vixuri au kiufundi sio sahihi
  12. buyoya419

    JamiiForums Tanzania Msingi tu 3.5M? Au Kuna namna napigwa wakuu

    Vitu vingine jitahidi kuangaika ukavipata kwa bei rahisi Cement nilinunua nyati mfuko mmoja kwa 15000 Kokoto nilinunua gari moja kwa laki 2 zile nyeupe zimeingia kwenye mkanda,zimeingia kwenye shimo la choo na zimebakia kwenye kufunga linta zinapungiza gharama kuliko kununua viroba Loli la...
  13. buyoya419

    JamiiForums Tanzania Msingi tu 3.5M? Au Kuna namna napigwa wakuu

    Ukisimamia mwenyewe na vifaa unanunua mwenyewe bei unaweza kupunguza hapo Mimi msingi nimetumia 2.8m na kila kitu nimekisimamia mwenyewe Tofari za msingi nimetumia pcs 800 na nilinunua kwa 920 tshs kila tofari Pesa imekuja kutembea sana kwenye kufunga mkanda maana msingi wangu ulikuwa na...
  14. buyoya419

    JamiiForums Tanzania Ramani, makadirio, Elimu na ushauri kuhusu Ujenzi

    Msingi gharama zote na fundi nimetumia 2.8m na point point
  15. buyoya419

    JamiiForums Tanzania Ramani, makadirio, Elimu na ushauri kuhusu Ujenzi

    Kwenye kiwanja changu kulikuwa na kichuguu cha siafu nimefanikiwa kumaliza kujenga msingi Naombeni msaada wenu nifanye nini ili wasije kunisumbua baadaye
Back
Top Bottom