Recent content by Butanyata

  1. Butanyata

    Naomba kufahamishwa akaunti bora za kutunza fedha

    https://jubileetanzania.co.tz/pension-plan/ Website yao hiyo hapo
  2. Butanyata

    Naomba kufahamishwa akaunti bora za kutunza fedha

    Wako Posta, opposite na Hotel ya Serena..jengo la Amani Place
  3. Butanyata

    Naomba kufahamishwa akaunti bora za kutunza fedha

    Hiyo ni product tu mkuu kutoka Jubilee Life Insurance
  4. Butanyata

    Naomba kufahamishwa akaunti bora za kutunza fedha

    Kujisajili ni bure tu, unajaza fomu n the rest is history. Hakuna gharama za kuweka wala ukija toa hutakuwa charged mkuu
  5. Butanyata

    Naomba kufahamishwa akaunti bora za kutunza fedha

    Mkuu habari, mimi nakushauri uweke akiba yako pale Jubilee Life Insurance wana hii product inaitwa PPP (Personal Pension Plan) ambayo interest yake minimum ni 5% guaranteed. Unaweza itoa muda wowote bila makato na haina charges zozote (hata tax hamna). N nzuri kwa kuwa unaweka unavyotaka na...
  6. Butanyata

    Msaada kuteneneza Photocopy Machine Canon IR2202

    Nipo Dar es Salaam mkuu, Kimara Bucha hapa.
  7. Butanyata

    Msaada kuteneneza Photocopy Machine Canon IR2202

    Habari wadau, Nina shida kwa mwenye kujua jinsi ya kutengeneza photocopy machine aina ya Canon IR2202. Nikiiwasha inaandika 'Download Mode, Please wait'. Nimejaribu kusoma mitandaoni lakini nimeshindwa kuweza tatua tatizo hili. Kwa mwenye ujuzi ama kumjua fundi mzuri wa hizi Photocopy machine...
  8. Butanyata

    MFANO HALISI: Road Licence inavyoikosesha serikali mapato

    Mkuu, mimi sioni tatizo hapa kwenye Road Licence mpaka useme unaona bora ifutwe. Nadhani kikubwa ni 'awareness' iongezeke kwa walipaji kodi hawa. Unakuta mtu gari limepata matatizo analipaki bila kufata taratibu husika. Gharama tunazotozwa ni ndogo na reasonable tu.
  9. Butanyata

    Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

    Ni video games, tofauit kidogo na computer. Usitake niambia hujawahi come across hizi games at all. Itabidi utafute mkuu, very user friendly kwa gamers
  10. Butanyata

    Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

    wewe kweli player. Uje kwangu, one hour TZS 1,000 tu.
  11. Butanyata

    Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

    Mkuu. Hope sijachelewa kukujibu hapa. Mimi binafsi nafanya hii biashara na ki ukweli inalipa kama uko makini na unajua kuhusiana na games za watoto. Binafsi nilianza na mtaji wa TZS 2 milion. Mimi ninachezesha Play Station 3 na Xbox One. NIna Play Station 3 tatu na X box 1. MAuzo kwa siku ni...
  12. Butanyata

    Benki gani naweza kuweka pesa nikiwa nje ya nchi

    Mkuu, kama uko India nadhani Bank of India, BAnk of Baroda na I & M Bank zitakufaa zaidi. Gharama za kutuma kuja kwenye account yako ni nafuu zaidi. Kikubwa fungua account kabisa kabla hujaondoka, the rest is history!!
  13. Butanyata

    Series za kijasusi

    Mkuu, tafuta moja kati ya hizi series kali... 1. Designated Survivor 2. Narcos 3. 24 4. Prison Break 5. House of Cards 6. Scandal 7. Homeland 8. Graceland 9. The Blacklist 10. Revolution 11. Arrow 12. Missing 13. Power 14. The Walking Dead 15. Tyrant 16. Gang Related 17. Crisis 18. Hostages 19...
Back
Top Bottom