Msaada maelezo kam gharama za kujisajili,je n unapewa card au ni huduma za simu tuMkuu habari, mimi nakushauri uweke akiba yako pale Jubilee Life Insurance wana hii product inaitwa PPP (Personal Pension Plan) ambayo interest yake minimum ni 5% guaranteed. Unaweza itoa muda wowote bila makato na haina charges zozote (hata tax hamna). N nzuri kwa kuwa unaweka unavyotaka na unaweza wek pesa hata kwa njia ya simu pasipokuwa na makato yoyote.
Hope that helps.
Saw mkuu,hii wanatoa riba au ni saving ya kawaidaFungua Account ya wadu (weka akiba daima unavyopata) mzee kutoka bank ya TPB... Mahitaji ni barua ya utambulisho toka kwa mtendaji, any IDs Kama mpiga Kura, uraia, leseni au pasipot, passport size 4 na kianzio minimum 20,000
Kujisajili ni bure tu, unajaza fomu n the rest is history. Hakuna gharama za kuweka wala ukija toa hutakuwa charged mkuuMsaada maelezo kam gharama za kujisajili,je n unapewa card au ni huduma za simu tu
Hao PPP ni kina naniMkuu habari, mimi nakushauri uweke akiba yako pale Jubilee Life Insurance wana hii product inaitwa PPP (Personal Pension Plan) ambayo interest yake minimum ni 5% guaranteed. Unaweza itoa muda wowote bila makato na haina charges zozote (hata tax hamna). N nzuri kwa kuwa unaweka unavyotaka na unaweza wek pesa hata kwa njia ya simu pasipokuwa na makato yoyote.
Hope that helps.
Hiyo ni product tu mkuu kutoka Jubilee Life InsuranceHao PPP ni kina nani
Hii account ya NMB unaruhusiwa kutoa pesa mara moja tu kila miezi mitatu ili kuendelea kupata riba. Ukitoa zaidi ya mara moja every quarter ujue huwezi pata riba. Unapoteza legibility ya kupata interest. Pengine wachache hawafahamu hili.Fungua NMB bonus account, utahitaji passport size, barua kutoka LGA na ID.
Amana ya mwanzo ni 50,000
Pesa unaweza kuweka sehemu yoyote kama akaunti zingine ila kutoa pesa mpaka dirishani. Haina gharama za uendeshaji akaunti na inalipwa riba
Hii bas ndio njema ngoja niifukuzieHii account ya NMB unaruhusiwa kutoa pesa mara moja tu kila miezi mitatu ili kuendelea kupata riba. Ukitoa zaidi ya mara moja every quarter ujue huwezi pata riba. Unapoteza legibility ya kupata interest. Pengine wachache hawafahamu hili.
Mkuu hawa wako wapi??Mkuu habari, mimi nakushauri uweke akiba yako pale Jubilee Life Insurance wana hii product inaitwa PPP (Personal Pension Plan) ambayo interest yake minimum ni 5% guaranteed. Unaweza itoa muda wowote bila makato na haina charges zozote (hata tax hamna). N nzuri kwa kuwa unaweka unavyotaka na unaweza wek pesa hata kwa njia ya simu pasipokuwa na makato yoyote.
Hope that helps.
Wako Posta, opposite na Hotel ya Serena..jengo la Amani PlaceMkuu hawa wako wapi??
Asante mkuuWako Posta, opposite na Hotel ya Serena..jengo la Amani Place
Una maelezo yao au page yoyote kuhusiana nao ambayo naweza nikaipitia? Nimejaribu kuwachek through mtandaoni siwapati.Asante mkuu
Una maelezo yao au page yoyote kuhusiana nao ambayo naweza nikaipitia? Nimejaribu kuwachek through mtandaoni siwapati.