Recent content by but why

  1. but why

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Yule hakua anauza kwa sababu hakutaka pesa, na ni kweli alitoka safar kufuata mzigo (kutokana na maongez yake kwenye simu).
  2. but why

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mwez wa pili mwaka huu nilikuwa DSM kwenye harakat za mtu mweusi..usiku wake kulikuwa na game ya europe league Man u na Barca ile first leg..nikajisogeza kuicheki baa flan hv imechangamka changamka maeneo ya Tip top, sasa mimi sio mnywaji wa kiivyo.. kwa kuwa nilifika mapema pale baada ya msosi...
  3. but why

    JamiiForums Tanzania Madaktari wetu hasa nyie vijana wa sasa mjitafakari sana utendaji kazi wenu!

    Kwa ujumla suala la uwajibikaji madhubuti ofisi zote Tanzania ukiacha tu hao madaktar ni changamoto, ni mtu mmoja mmoja sana humu maofisin utaenda na shida zako akakutatulia kwa zile standard zinazotakiwa, tena atleast wanaume tunajitahidi kidogo, wadada ishu ya kukupa maelezo kidogo tu utadhani...
  4. but why

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikasa/vituko vya lodge

    Tulienda ukerewe 2018 kwenye ishu flan kama group hv, bahati mbaya siku tuliyofika kulikuwa na ziara ya uncle Magu, lodge na guest zote kwa pale mjin zilikuwa zimejaa, zunguka kila sehemu holaa. Baadae kabisa tukapata moja inaonekana ya muda mrefu sana, kuulizia bei elfu 3, ikabidi tulipie...
  5. but why

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahusiano mafupi kuliko yote ushawahi kuwa nayo

    ....hapo ishu sio chips na soda, ishu ni kwamba kwa akili za mwanamke kama huyo baada ya wiki mbili si atakuambia ada ya watoto imeisha walipie... Wote wanaoacha mademu baada ya kuombwa pesa siku ya kwanza au ya pili haimaanishi hiyo pesa hauna... Ni vile tu unamuona huyu hana subira wala aibu...
  6. but why

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mdogo wangu wa kike amenitusi muda huu, ninatetemeka kwa hasira

    .. Sema ukiwa brother kuna wakat lazima u act kibabe kwa hawa madogo wa kike kwa sababu sawa maamuz yapo mikononi mwake ya nn afanye na nn asifanye shida tu inakuja akishajazwa mimba na hao bodaboda akakimbia mji mtoto inakua jukumu lako brother, ww ndio utasimama kama baba kwa huyo uncle...kwa...
  7. but why

    JamiiForums Tanzania WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

    Fdmmnmhmtmy f i ffrjm duh Sent using Jamii Forums mobile app
  8. but why

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umewahi kuwa na rafiki mwiz/mdokozi na ulichukua hatua gani ulivyomgundua?

    ...alivyoingia nilidhani jamaa ninayekaa naye ndio amempa funguo akajipigisha story akasepa sasa aliporud mshikaj kumuuliza akakanusha ndio tukajua jamaa ana funguo ya ziada ndio tukamfuata akajitetea tetea ila tukachukua tu funguo zetu then ikaisha hivyo
  9. but why

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umewahi kuwa na rafiki mwiz/mdokozi na ulichukua hatua gani ulivyomgundua?

    Nyumba tunayoishi tupo wawili ,mimi na mshikaj wangu wote mabachelor...ni nyumba ya vyumba vitatu ,sebule, jiko na choo...chumba kimoja tunakitumia kama stoo ... Sasa yy ni mpenz wa PlayStation ila mimi hapana sanasana ni movies na mpira ..kutokana na kuwa ni mtu wa hayo magemu kuna washikaj...
  10. but why

    JamiiForums Tanzania Narudia tena, Usafiri wa daladala hapa Dar es Salaam ni kwa ajili ya watu masikini

    Point ya msingi sio kuogopa macho ya watu, ishu ni zile adha zinazopatikana kwenye usafiri wa daladala...zile habar za kushikilia bomba gari imeshona had mlangoni halafu mnakaa kwenye folen nusu saa nzima, kupambana mlangoni uwahi siti, au ukikaa ile siti ya katikati mtu anakuja na begi au mfuko...
  11. but why

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan ampa onyo Waziri wa OR-TAMISEMI, Selemani Jafo

    Nayo inachangia pia,..mtu ajira ya kwanza kwenye utumishi wa umma anaanzia kwenye ukurugenz direct..mfano Yule Kamoga alikuwaga clouds, aliteuliwa direct kuwa mkurugenz mbulu huko na wapo wengi wa hivyo ...shida ni cheo cha utendaji kwa mtu aliyetoka nje ya system moja kwa moja lazima apate tabu...
  12. but why

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jitahidi sana usiwe sehemu/sababu ya ndoa za rafiki zako kuvunjika

    Kwa sababu nyani chakula chao ni mahindi pekee et...na ni lazima yawe ya mkulima huyo huyo ...interesting Sent using Jamii Forums mobile app
  13. but why

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Kwingine kote uhakiki ulipita kama mara hamsini hiv, na waajiriwa wapya wanahakikiwa kwanza kabla ya ajira..eneo pekee uhakiki haujagusa ni kwenye idara ya ulinz na usalama( police,jeshi na wengineo)...kwa hyo bwana mnyonge kama unapenda watu wapoteze ajira ww ufurahi pendekeza uhakiki upite...
  14. but why

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru Ally ni Public Servant au Civil servant?

    Vyoote mnavyojadili hamuwez kufikia muafaka kwa sababu ya namna teuzi zinazofanyika..zaman mkurugenz wa halmashauri ni lazima alikuwa anatoka ndan ya utumishi wa umma hatakama ni nafasi ya uteuzi kutoka kwa Raisi...awamu hii kuna watu ajira yao ya kwanza ndan ya utumishi wa umma wameanzia kwenye...
  15. but why

    JamiiForums Tanzania Kipara kimeanza kuota

    Mafuta ya mnyonyo yanapatikana wapi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom