Madaktari wetu hasa nyie vijana wa sasa mjitafakari sana utendaji kazi wenu!

Kwa hiyo story maana yake dada alitaka jujua dawa anazotumia mtu mwingine ni za nini. Hapo ni ku disclose taarifa ya mgonjwa
Naona unarudia kitu kile kile,mgonjwa alitaka ajue anasaidiwa vipi baada ya kulala na mtu na kinga ikapasuka na baada ya hapo akahisi mtu huyo ni mgonjwa kutokana na dawa alizoziona mle ndani palipokucha,ndio akataka ajue ni dawa za nini na yeye anasaidiwa vipi?
 
■Ulishasaidiwa tayari kwa kupewa elimu kuwa tumia kondomu..na pia pima afya kabla ya yote.

■Kama mpenzi wako ameathirika na umekubali kuwa nae kuna dawa za kujikinga na utapewa..

■Lakini tukisema kila mtu anayelala na malaya kichwakichwa akimbilie hospitalini kupewa dawa hata wale waliokuwa kwenye ART plan watakosa dawa.

Hizi dawa kuna muda zinakuwa chache sana kwenye stocks za CTC's hadi waviu wanapewa za wiki moja moja..usidhani ni kama paracetamol tu kwamba zinapatikana kwa wingi na kila mmoja anaweza kuzipata.
Huyu alitumia Condom lakini ikapasuka,kwa hio ni ajali,Je anasaidiwaje kwa mujibu wa huo muongozo?

Je anaachwa kama Dokta alivomwacha akafe?
 
Kwa ujumla suala la uwajibikaji madhubuti ofisi zote Tanzania ukiacha tu hao madaktar ni changamoto, ni mtu mmoja mmoja sana humu maofisin utaenda na shida zako akakutatulia kwa zile standard zinazotakiwa, tena atleast wanaume tunajitahidi kidogo, wadada ishu ya kukupa maelezo kidogo tu utadhani unamuomba figo, hyo ishu ya kujua dawa kwa brand name huwez kumlaumu mtu, makampuni kibao ya dawa na kila kampuni ina brand name yake utakariri mangapi..though kwa scenario kama hiyo bila kujua jina la dawa angeweza kumshauri option ya nn cha kufanya, kuhusu hilo la wamama kufanyiwa operation akichelewa kujifungua ni suala la wazi..,labour inafuatiliwa na kitu kinaitwa patograph( unaweza kugoogle hilo neno) , ikifika sehemu ya kuchukua action ina maana huyo mama amekaa kwenye uchungu muda mrefu kuliko inavyotakiwa kuwa ambayo inahatarisha hali ya mama na mtoto tumboni, na kwa sasa ukipata martenal death ni ishu serious sana hasa kama ulizembea sehemu (kama kutofanya maamuzi kwa wakati).. Mapungufu mengine yapo kutokana na mazingira halisi.. Foleni ndefu huwez kukaa na mgonjwa mmoja muda mrefu, uhaba wa vipimo utaagiza vilivyopo na kwenye ubusy na simu hapo no comment
 
Umeeleza vizuri na umeeleweka,eti wadada ishu ndogo tu ya kukupa maelezo unaweza kudhani unawaomba figo
 
Au tumbo anaambiwa avue nguo apande kitandani, au kifua ana ambiwa atoe blauzi
Wagonjwa msichokijua ni kwamba ukienda hospitali daktari anatakiwa akufanyie uchunguzi wa mifumo yote ya mwili(systemic examination).

Yaani kama umeenda na shida ya kukohoa daktari anatakiwa akufanyie uchunguzi mpaka wa mfumo wa mkojo ili kugundua huwejda kuna maradhi yanakunyemelea LAKINI HAUJAYAJUA BADO.

SO lakini mgonjwa anayo haki ya kukataa kufanyiwa hizo examination kwa sababu kama hata operesheni tu mgonjwa hafanyiwi mpaka saini fomu ya ridhaa na operesheni ni jambo kubwa basi na huku kwenye examination mgonjwa anayo haki ya kukataa.

Jambo la msingi ni daktari amfahamishe mgonjwa na kumpa elimu kwamba hata kama unaumwa kichwa basi lazima tukuchunguze mfumo wa mkojo ama uoumuajii kwa faida kadhaa wa kadhaa,hiyo itasaidia.

Shida madaktari hawafanyi hivyo,hawatoi elimu kwa wagonjwa.
 
Yaani unamtolea povu daktari utadhani wewe ni daktari kumbe muuza dawa, Kwa taarifa yako, daktari alikua sahihi kabisa yaani kitaaluma hawezi kukurupuka kumpa comment huyo binti bila kuwa na uhakika wa kitu anachoulizwa, LA75 inaweza kuwa hata jina la mtaa kule Los Angeles....wewe ndio umekurupuka inawezekana kabisa hata hizo PEP huyo dada alimeza bure, hata yule mzee inawezekana pia hizo dawa ni za rafiki yake, yote yangeweza kuhakikishiwa tu kam kweli yule mzee angepimwa kuonekana positive then ingekuwa sawa kwa huyo dada kumeza hizo PeP kwa uhakika akijua anapambana na na nini, ninyi ndio mnatoa mimba vichochoroni, madaktari vijana tuendelee kukaza hivi hivi kitaaluma sio kiubabaishaji kama mtoa mada
 
Soma kwa makini,nyie ndio wale madaktari ambao mgonjwa anaongea we unaandika akimaliza unamwambia nenda maabara bila hata kumchunguza kwa undani.

Sasa nakuuliza kwanini hospitali ya Mkoa walimpokea na kumpa PEP, je wao hawajui hizo taratibu ?
 
acha ujinga kabisa wewe kuwa hospitali ya mkoa hakukufanyi kama ni daktari wenye maadili, alipewa Pep tu kwa kuwa haidhuru ingekua inaua angesoma urasimu mpaka, Pep inatolewa tu pale ambacho risk ya exposure to HIV iko above 60% ..hiyo ni kwa mujibu wa daktari anavyoona kilingana na facts at hand ...ila katika hili ni unahatishaji tu
 
Back
Top Bottom