hivi nakaa najiuliza kwa nini ccm wanashindwa kutupa maisha bora wana baki kupambana na cdm suala la Zito na kigoma kama kweli wanania ya dhati na watu wa Kigoma wangetuacha mpaka leo ndio mkoa ulioko nyuma kimaendeleo?Ccm fanyeni kazi maana porojo za ukabila na ukanda hazijengi chama watu...
Hivi wale madiwani wachadema wa Arusha walikua kabila gani?au wadau haki ikitendeka kwa mtu mwingine ndio kuna ukabila sio ccm na vibaraka njooni na hoja bana hayo mengine ni swaga tu
Hivi kuna gereza lakuweka watu wote wa mtwara yaani vijana wote.Mimi natoa wito kwa serikali itumie busara kuliko nguvu kama nchi za libya,tunisia n kwingineko lakini mwisho wa siku wananchi walishinda kwahiyo serikali ya ccm ijiangalie kwa jicho la mbali isije ujichimbia kaburi lake
Wewe leta mada umesahau bunge ni sehemu ya kutunga sheria za nchi sio za jimbo lolote,unapofika bungeni ni maslai ya taifa kwanza.Sasa lissu ndio yuko kwaajili hiyo kuweza kuthibiti vihiyo vya ccm kama ndugu yako Mwigulu ambaye anataka kuleta vihoja vyake pale bungeni.Mimi na familia yangu...
Dah!bongo imekua soo yaani Polisi bongo ni noma kuliko magaidi maana wanatumia dola kuwabambikizia kesi watu.Pole sana makamanda wote mnaopata shida ndio mandela wa sasa nyie,maana kumuondoa mkoloni weusi sio mchezo lazima kujitoa na wengine watatusaliti njiani kama kina fulani.peoooople...
I salute md25,wwe ni noma umetoa darasa lakutosha kuhusu mambo ya special force.Hivi bongo hamuijui nni?md25 ni kweli ssi bongo ni full usani kila mahali kuanzia kwenye elimu mpaka kwenye vyombo vya ulinzi ni bomu2
Dah!kweli ben wewe ni noma hongera zako kwa kufichua umafia uliokuwa umepagwa na masalia na chaumma.Kuna watu wanaona kama ben ni snitch lakini katika siasa za bongo tunatakiwa tuwenakina ben kwasababu bila kuwaumbua.Sisi wabongo ni wepesi kuamini uongo unapotufikia bila kuchambua ndio maana...
Ni kweli kamnda ssa hvi ccm badala ya kudeal matatizo yetu wao wanadili na cdm bila kutimiza ahadi zao,mara oooh!cdm ni movement for chaga mara ni kilimanjaro.Enyi ccm timizeni ahadi zenu maan 20015 siombali
Ni kweli kabisa bila kuuma meno ccm ndio waanzilishi waudini.swali la kujiuliza kama ccm aikuasisi udini nchi mbona katika uchaguzi wa 2010 tulikua tunatumiwa msg za kueleza dr.slaa ni padre lakin kipindi akiwa mbunge wengine tulikua atujui hilo,alafu sisi wananchi tukalikuchukua kama agenda za...
Heri ya mwaka mpya na wewe kamanda wetu lema pamoja sana mpaka kieleweke.Mungu akiwa upande wetu mafisadi na masalia wanafanya kazi bure juu yetu.Mungu atubariki n kutuongoza siku zote za mapambano wetu makamanda wote waukweli popote walipo.heri n fanaka kwetu makamanda
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.