Recent content by bush striker

  1. B

    Wahenga hawakukosea, tamaa mbele mauti nyuma: Huyu boss wa Wagner alipewa tenda yote kulisha majeshi ya Urusi, bado hakutosheka!!

    Hapo ndio pa kuwaza zaidi inawezekana huu ni mchezo wa urusi kwa adui, inawezekana adui ndio kawekwa mtegoni.
  2. B

    Je, unafanyaje ukiwa umepigiwa full light barabarani?

    Hapana mkuu hata hizi jezi zetu kama Crown na ndugu zake ziko na option hiyo
  3. B

    Je, unafanyaje ukiwa umepigiwa full light barabarani?

    Udereva wa kujihami ni muhimu maana unaweza kukuta unaepishana nae yuko macho ila akili imeshalala. Kuna hizi gari za miaka ya karibuni zenyewe unaweka automatic tu kwenye taa inafanya kazi yenyewe ya kuongeza na kupunguza mwanga unapopishana na gari na hata ukiwa unafata gari kwa nyuma...
  4. B

    Ndege ya Air Tanzania yashindwa kutua Bukoba, yageuza kwenda kutua Mwanza

    Mkuu usemalo inaweza kuwa kweli ila inawezekana pia ruban aliona uwezekano wa kutua salama ni mkubwa na bila shaka maana wale ni wazoefu sana kwenye viwanja vya nyumbani. Huwa nawaza na naujuwa uwanja wa Bukoba vizuri sana inawezekana rubani alikutana na cross wind dakika za mwisho kwenye kutua...
  5. B

    Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

    Huyo mnyama kwenye precision ni mnyama gani na huwa na rangi gani kikawaida?
  6. B

    Nahitaji Vitz Old Model namba C au B (bajeti yangu milioni 3)

    Kwa umbali wa kazini na nyumbani unafuu wako ni pikipiki hasa ATV (pikipiki tairi nne) ina usalama kidogo. Ila kwa gari bado utakaa foleni za ajabu uwatamani waliosinzia kwenye daladala.
  7. B

    Tusilifananishe hili la mabadiliko ya Mawaziri na kisa cha aliyekuwa Waziri katika Serikali ya nchi jirani. Zipo sababu za msingi

    Nakumbuka kulikuwa na mkutano mkubwa sana wa kimataifa hapa Dar es salaam enzi za Mh Kikwete. Kuna maswali yalikuwa yanamshinda kujibu Mh Kikwete na mama Tibaijuka alimjibia Mh Rais na wala Kikwete hakujisikia vibaya. Ukiwa boss huwezi jibu kila kitu hasa kama ni maswali ambayo hayajaandaliwa...
  8. B

    Muda gani umvumilie mwanaume ambaye hana kazi

    Inawezekana kavamia mikosi siku akiachwa ndio siku simu za kazi zinaingia kwa fujo.
  9. B

    China yazindua ndege kubwa ya kwanza ya abiria (C919)

    Vitu vingi tutumiavyo leo vilianza kutumika jeshini kwanza
  10. B

    China yazindua ndege kubwa ya kwanza ya abiria (C919)

    Jaribu kununua uone kama wakubwa wa Dunia hawataki utanyimwa vibali vya kuirusha litabaki pambo tu nchini kwako.
  11. B

    Hivi hii nchi yetu yote hakuna sehemu kuna mafuta tuchimbe?

    Kuna vitu Duniani vinaendelea na wakubwa wa nchi wanajuwa huwezi fanya kitu kama hujakubaliwa na wadau kila kitu kina wadau wake ukifanya biashara yoyote utajuwa hilo kama wenye biashara hawajakubali huwezi fanya na hii ni kwa wafanya biashara wadogo, wakubwa na hata nchi kwa nchi. Mfano leo hii...
  12. B

    Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Basila Mwanukuzi apata ajali ya gari

    Kwa mwendo kasi wa haya magari ukiringanisha na ajali zunazotokea naweza sema ni ajali chache sana haya magari ukiendesha yanakufanya ujisahau hata ukiwa 120km/h bado unaona uko na mwendo mdogo kutokana na ukaaji wake barabarani na upokeaji amri za dereva. Hata ikiwa ni gari binafsi kama hizi za...
  13. B

    FT: Ruvu Shooting 0-0 Young Africans | NBC Premier League | Lake Tanganyika Kigoma

    Kama nilitegemea matokeo haya maana ile sehemu ya kuchezea uwanja wakigoma haifai halafu ni uwanja mdogo huwezi kumkimbia mpinzani wachezaji wote wanarundikana sehemu moja hakuna ufundi sana. Niliuona uwanja ule wakati wa FA final mwaka jana Simba tulishinda ila mpira haukuchezeka kabida sababu...
  14. B

    Kitendo cha Rais kusimamisha hotuba kisa Adhana ya waislam imakaaje hii kitaifa?

    Naona hata Uingereza wanafanya hil mpirani wanasimamisha mpira ili wachezaji waliofunga wafungulie. Ni kuheshimu tu dini za wengine maana dunia hii ni yetu sote. Mimi huzima redio au Tv mara adhana ianzapo tuvumiliane tu na haya mapokeo ya kila upande.
  15. B

    Ni dhahiri kuwa Rostam Azizi na Kundi lake ndio waliodhamini safari ya Rais na kundi lote lile. Watanzania tukae mkao wa kutafunwa

    Ukitaka kufanya mambo bila ya wadau ni lazima utakwama shirikisha wadau mambo yaende mbele (mbere, satu kutoka chato).
Back
Top Bottom