Kwa Voda bima,sijapata Ushuhuda haya kwenye mambo mtu anapopatwa na Ajari,navyofahamu Mimi Voda wao bima yao kwa Ushirikiano wa Jubilee Insurance,Mo Assuarance na Milvik Tanzania,Kwa Mimi kwa Ushauri bima isiyo kuwa na Mkataba wa kimaandishi umeongea nao tu wakakushawishi kupitia simu sio...
Hapo kama Kuingia kwenye Mtumbwi wa Vibwengo,
Tigo Bima,Nina ushuhuda wa mtu wangu wa karibu yeye alikuwa akilipa kilamwezi kupitia namba yake ya simu ya Tigo Pesa,Kwanza Tigo sio mtoa hiyo huduma ya Bima hivyo kuna kampuni tofauti Hila wao wanawatumia Tigo kama kuitangaza huduma ya Bima...
Madereva wa Mabus wanafujo Sana Barabarani wanaendesha Bus Kama Ndege za ardhini wamekuwa chanzo cha Ajari za Barabarani hasa wamekuwa wakidharau Sheria na Kuover take,Hata kwenye sehemu isiyo ruhusiwa,Kama Umesoma Sheria za Udereva Kamwe Uwezi tetea Hao Madereva wa Mabus.Kikubwa Kama Umepitia...
Hiyo ndio moja wapo ya PROPAGANDA kwa Nchi Yetu na Sisi kwa Nchi Kuonekana kuwa Tunajari hata Tukipata Matatizo Tuonekane Kwa Ujirani Mwema,Hasa Kimataifa kwa Nchi ya TZ.
Haya ndio Maneno ya Mhe.Hayati na JPM.
"Nataka niwaambie Ndugu zangu SIKU MOJA MTANIKUMBUKA na Mimi ninajua MTANIKUMBUKA kwa MAZURI si kwa MABAYA kwa sababu nimeyatoa sadaka maisha yangu kwa ajili ya Watanzania masikini. Kwa hiyo tusimame Pamoja,tusibaguane kwa vyama tusibaguane kwa ajili ya...
Kodi ya simu kwa sasa haina Maana, kundi kubwa la watumiaji simu ni Vijana na Wengi wao hawaja ajiriwa na Hawana Mitaji. Utafiti mdogo tu walipo Pandisha Gharama za Bando Watu wengi walihamia kwenye Mitandao yenye Gharama nafuu, Kwani hizo Direct Tax na Indirect Tax katika Mitandao haiwatoshi...
Kabla haujapindua Nchi, Tayari unakuwa tayari Mipango yako ishajulikana na Usalama wa Taifa na kudhibitiwa chini ya Ulinzi, Maana Usalama wapo kila Mahali
Bwana Yesu si ndio Wengine wanamuita Issa, Basi haina budi kumuheshimu, maana Wanajua mamlaka aliyo pewa Duniani na Mbinguni, Mwenye Masikio na asikie na Mwenye Macho aone.
Boda boda wanatumia njia ya kukuongelesha anapo kubeba sana sana Muda wa Usiku muda Umeenda sana na anakuwa Makini na side mirrors zake kama mbinu moja wapo ya Kimedani kwake anapo kubeba, kukuongelesha ni njia ya Kujihami na kukuondolea Umakini wako kama kuna Jambo baya Unalotaka kumfanyia...
Naunga hoja kwa asilimia 100%. Ndoa za hivyo Mara nyingi zinadumu sana kulio mwanamke ambaye Hana Utepe, Ni dhambi kubwa sana mbele ya Mwenyezi Mungu, Kwa Mwanaume kumtoa mwanamke bikra Mwanamke Usie kuwa wa Uhitaji wa Kumuoa.
Sawa kwa hizo points ulizo toa kwenye reli na Nishati na madini, Je kwa hawa watu ambao hawajapitiwa na hiyo reli ya mwendo kasi itawasaidia vipi katika kujikwamua kwa Uchumi, Ikiwa nchi yetu imeingia kwenye Uchumi wa kati ila kiharisi wananchi hawaishi kwa Uchumi huo, Na kwenye nishati na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.