Utata juu ya Rais Samia kuingilia kati tozo mpya za miamala

Huyu jamaa tokea anateuliwa sijawahi mkubali ,hajielewi ule weupe na maskafu ya uzalendo eti ndo vimemchanganya mtawala.
In reality kwenye wizara nyeti Kama ile anapwaya yana .
 
Mi nimetafakari kwa kina sana ila nimeshindwa kupata jibu. Yafuatayo najiuliza

1. Mh. Rais alisaini au hakusaini hiyo sheria ya TOZO mpya?

2. Kama alisaini, je alikuwa anapima upepo wa wananchi?

3. Je, ni political tension?

4. Je, itakuwa imemuongezea asilimia za kuupiga mwingi?

Kama kuna mtu anaweza kuongeza maswali na majibu.

Asante.
IMG-20210719-WA0179.jpg
 
Huu ni udhaifu,mimi ningekomaa na hakuna ningebadilisha,Nchi haiwezekani kwenda kwa kubembeleza walipa kodi
unakomaa unapata hewa watu toka tozo mpya zianze wameacha kurusha hela jaribu kuuliza wa mpesa, tigo nk watakwambia jinsi walivyopigwa.Mtu anaona bora ampe bodaboda aipeleke na nyingine unaweka ndani ya kilo ya sukari unampa konda tayari umetuma
 
Hilo la maeneo ya Mjini linajulikana but huwezi mpa bodaboda kwenda mkoani na huko ndiko kwenye pesa nyingi lazima utarysha tuu.

Afu msikariri hiyo biashara ya uwakala by 2025 itakuwa imekufa tafuteni Kazi nyingine ya kufanya
 
Huyu jamaa amekuwa na kiburi na majivuno, sipendi the way he tells lies
 
Hata wakati wa sakata la kikokoto Cha mafao kumbukeni Rais JPM alijua Kila kitu Mambo yalipo pamba Moto aliingilia Kati na kusitisha,hiyo ndiyo siasa,unalianzisha unalipoozesha unakuwa shujaa
 
Hilo la maeneo ya Mjini linajulikana but huwezi mpa bodaboda kwenda mkoani na huko ndiko kwenye pesa nyingi lazima utarysha tuu.

Afu msikariri hiyo biashara ya uwakala by 2025 itakuwa imekufa tafuteni Kazi nyingine ya kufanya
Majibu wanayo wa Mpesa, tigo nk, hauwez kufuta ajira za watu ghafla namna hii.
 
Hii Tozo Hapana kabisa. Wameyazidi hata wanacho ingiza Makampuni za Simu. Kuanzia kiasi cha 50, 000. Nakuendelea
IMG-20210718-WA0005.jpg
 
Back
Top Bottom