Kodi ya simu kwa sasa haina Maana, kundi kubwa la watumiaji simu ni Vijana na Wengi wao hawaja ajiriwa na Hawana Mitaji. Utafiti mdogo tu walipo Pandisha Gharama za Bando Watu wengi walihamia kwenye Mitandao yenye Gharama nafuu, Kwani hizo Direct Tax na Indirect Tax katika Mitandao haiwatoshi Tu Serikali.
Mfano Mzuri Mawakala wa Mitandao ya M-Pesa, Tigo Pesa, Halo Pesa, T Pesa, Z Pesa na Mitandao Mingine ya Kipesa ya Simu Hizo asilimia 10% za Commision haziwatoshi Tu za Kila Wakala Tanzania nzima?? Na wananchi wanachangia kupitia huduma za kuweka Pesa na Kutuoa.
Bado na huduma Nyingine kibao za, Business 2 Business (B 2 B) Kupitia huduma za Simu na Bank na Serikali Inakusanya Tax Kibao na Kupunguza Foleni kwenye Mabank yote Tanzania kwa Mifumo ya E-Eletronic. Ni muhimu Serikali iwalinde wananchi sio kila mara Kuwakandamiza Wananchi, Kuna Bandari, Madini, Utarii na Mambo Mengine Kibao