Mvunjifu wa amani namba Moja ndani ya hii nchi ni jeshi LA polisi ambao kiuhalisia wanatumika kuwaonea sana wapinzani na wakosoaji wa serikali
Jeshi lenu hilo la polisi limekaa kuwaonea na kuwaua wananchi wasio na hatia na kujiita wasio julikana mpaka hivi Leo watu wameuawa na kupotezwa...
Kupitia LISU jamii imepata mengi yanayoendelea kwenye magereza yetu . Uonevu ukiwa mfungwa au mahabusu ASKARI magereza wanakuchukulia kama mnyama hivyo kwa kilichotokea kwa Lissu ni hali halisi wanachofanyiwa wengine ambao hawana sauti
Uchumi unakua then tunaambiwa sarafu yetu imeanguka sana Tena sana kwenye soko la dola so uchumi unakuaje hapo? Wakati manunuzi tunafanya kwa dola then mnatumbia mfumuko WA Bei unabaki pale pale hivi inaingia akili kweli dollar imepanda zidi ya sarafu yetu na manunuzi ya nje tunafanya kwa dollar...
Aisee nime experience hiki kitu ilinibidi niingie kwenye bajaji ambayo naendesha mpaka sasa but maisha yanaenda Kwa status niliyokua nayo before dah but nilijifunza kitu muhimu sana maishani mwangu
Habari za asubuhii
Nahitaji fundi wa mashine ya kufulia nguo anipe maelezo ya kitaalamu kuhusu mashine aina ya Nikura kwani nahitaji kununua ili nifungue dry cleaner hapa mbeya +255756417990.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.