Recent content by BURNING

  1. B

    Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

    Sasisha ios kuwa toleo la 12 kisha pakua app inayoitwa siri shortcut na kisha tafuta shortcut inayoitwa media grabber.hiyo inapakuwa mitandao yote ya kijamii inapakulia kny photo gallery au ukipenda kny prongram yeyote inayocheza video.
  2. B

    Mwenye uzoefu wa simu nauliza ipi ni simu star au bingwa kitecnologia kati ya iphone na sumsung

    Apple vs Samsung Ni mjadala wa kimahaba kwa wanapenzi wa simujanja Ukitazama sana utagundua apple anatumia vifaa vyenye uwezo wa kawaida kiutendaji kutengeneza simu inayokuwa bora kabisa kutokana na uwezo wao ktk kudizaini hardware na kutyuni software ifanyekazi vizuri. Samsung wanatengeneza...
  3. B

    Hii ni kwa wale wapenzi wa huawei

    Huawei wanatengeneza mitambo ya mawasiliano pia ambayo inatumiwa na ttcl ambao mitambo hiyo ndiyo njia kuu ya mawasiliano Tanzania.Hivyo kuhofia kudukuliwa ni bure kabisa.Hifaa chochote cha elektroni unachotumia kinadukulika.Wadukuaji si wachina pekee kuna wababe wao Warusi,wamarekani nk.hizo...
  4. B

    Jinsi ya Kuroot Simu Yoyote ya Tecno #Njia Mpya

    Faida za kuroot zimefafanuliwa humu jf tafuta na pia unaweza kugoogle ukapata majibu.usiwe mwepesi kutukana.
  5. B

    Simu Ipi Bora Kati ya Tecno, Huawei na Simu ya iTel

    Ukichukua simu za matabaka yote kwa maana ya kuwa kuanzia zile za dollar 200 -1000 Huawei mwaka jana walikuwa na namba moja katika masoko ya simu sehemu mbalimbali duniani.Huawei wenyewe wanaamini matoleo ya HONOR ndiyo yanafanya vizuri katika tabaka la kati na chini la simu wanazouza.
  6. B

    Simu Ipi Bora Kati ya Tecno, Huawei na Simu ya iTel

    Huawei ni ya tatu katika orodha ya kampuni zilizo uza kwa wingi simu za bei kuanzia dollar 600 -1000 kundi ambalo simu zenye ubora wa daraja la kwanza.Huku tecno hagusi.
  7. B

    Simu Ipi Bora Kati ya Tecno, Huawei na Simu ya iTel

    Tupe sifa za hiyo itel P 51
  8. B

    Simu Ipi Bora Kati ya Tecno, Huawei na Simu ya iTel

    Tuko pamoja mkuu. Huawei wanatengeneza system on chip (soc) zao zinaitwa KIRIN,component zingine kama kamera na sensa wanazotumia nizile zenye ubora wa hali ya juu.Ndiyo maana huawei zinauzwa dunia nzima na hata google wamewahi shirikiana kutengeza simu pamoja,hadhi ambayo ni samsung,HTC na...
  9. B

    Simu Ipi Bora Kati ya Tecno, Huawei na Simu ya iTel

    Huawei ni bora kuliko tecno na itel ni brand ya tecno yenye ubora dhaifu kwa ajili ya watu wanaoingia kny simu janja.
  10. B

    Nijuzeni app nzuri za simu kwa smartfone

    Azam tv ni nzuri kwa sababu inafanyakazi mradi unainternet bando ubaya wake ni kwa channel za azam tu.
  11. B

    Tanzania tumezoea kuuza simu second hand sio new brand

    Original zipo ila tatizo bei mara nyingi huwa si rafiki kwetu.ninacho jua kila simu toleo jipya kwa apple na Samsung ISP Kama voda na tigo huwa wanauza ila bei Ian is ml 1.9 hadi 2.5 sasa kwa iPhone X itakayo uzwa kuanzia dollar 1000 hadi 1200 huko ughaibuni huku itakuwa tsh ml 3.Na ughaibuni...
  12. B

    Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Kunatofauti na alibaba ukizingatia kuwa bidhaa nyingi zinatengenezwa china?
  13. B

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Kama airtel ni tatizo eneo lako tafuta ttcl nao wanabando inayofanana na hiyo kawa jina la T-TV.Mimi nimetumia T-TV ya mwezi kwa tsh 8000 Matumizi yangu yalifikia kiasi cha Gb 40.
  14. B

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Kwenye Airtel menyu chagua internet then bando ya tv.kuna chaguo la siku ndiyo 500,wiki na mwezi.
Back
Top Bottom