Jinsi ya Kuroot Simu Yoyote ya Tecno #Njia Mpya

Tanzania Tech

JF-Expert Member
Dec 8, 2016
355
276
Habari wana JF, leo nimewaletea njia mpya ya kuroot simu ya Android bila kutumia kompyuta, Kumbuka njia hii itakusaidia kuroot simu yoyote ya Android hata zile za tecno ambazo zimekataa kuroot.
**KUMBUKA HATUTA HUSIKA UKIHARIBU SIMU YAKO**

HATUA ZA KUFUATA

1. Download App ya 360 Root Hapa - Tanzania Tech
2. Kisha install Vzuri Kwenye Simu Yako
3. Fungua Programu Hiyo kisha Bofya Sehemu Imeandikwa ROOT, Programu ni ya kichina ila neno ROOT linaonekana.
4. Baada ya simu yako kuroot, simu itazima na kuwaka.
***HAKIKISHA SIMU YAKO INAYO CHAJI YA KUTOSHA, PIA KUMBUKA UNAWEZA KUHARIBU SIMU YAKO****
 
Jinga sana. Unatoa elimu na vitisho juu
 
Jinga sana. Unatoa elimu na vitisho juu
Sehemu yoyote wanakoeleZea njia ya kuroot iwe walioandika ni wazungu wachina wahindi wajapan waafrika lazima wakupe angalizo kuwa unaweza haribu simu yako na wao hawahusiki na hilo so do it at your own risk.
Mleta mada kafanya vizuri kuongeza hilo maana mtu akikaribu ikaharibika hawezi kuja fungua thread ya kumlalamikia
 
hizo bado hazijapatiwa ufumbuzi pamoja ya kuwa mleta mada ameonyesha simu zote za tecno unaweza kuroot .
 
Habari wana JF, leo nimewaletea njia mpya ya kuroot simu ya Android bila kutumia kompyuta, Kumbuka njia hii itakusaidia kuroot simu yoyote ya Android hata zile za tecno ambazo zimekataa kuroot.
**KUMBUKA HATUTA HUSIKA UKIHARIBU SIMU YAKO**

HATUA ZA KUFUATA

1. Download App ya 360 Root Hapa - Tanzania Tech
2. Kisha install Vzuri Kwenye Simu Yako
3. Fungua Programu Hiyo kisha Bofya Sehemu Imeandikwa ROOT, Programu ni ya kichina ila neno ROOT linaonekana.
4. Baada ya simu yako kuroot, simu itazima na kuwaka.
***HAKIKISHA SIMU YAKO INAYO CHAJI YA KUTOSHA, PIA KUMBUKA UNAWEZA KUHARIBU SIMU YAKO****

''VIRUS''
 
Tecno l9+ haiwezekani kwa njia hiyo. Sijui mleta mada aliposema simu zote alimaanisha za brand gani?
 
Waliambia "it is not possible to root" nikaona nisilazimishe kung'oa mzizi.
Atakayefanikiwa kuroot TCNO 8, W4 & W5 salama anijulishe.
nilifanikiwa kuroot tecno w4 kwa kutumia PC lkn niliweka kwanza twrp kisha nikaistall app y superSU.zip ikakubal lkn bila computer sidhan kma inawezekana kuroot
 
Weka hayo maujanja hapa km hautajali. Nina simu ya tecno w4 nahitaji kuroot lkn kila njia ninayoifanya inashindikana
 
Back
Top Bottom