Recent content by Burkinabe

  1. B

    JamiiForums Tanzania Yuko Wapi Waziri Mkuu Mstaafu Kasim Majaliwa?

    Naona sasa hivi kustaafu au kujiuzulu kunamaanisha usionekane kabisa kwa jamii. Maana wengi sana hawaonekani kabisa
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tuache utani jamani, where is Nchimbi?

    It's abnormal to act normally during abnormal situations! By Viktor Frankl
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini watumishi wa umma wanaringa wakiwa kazini?

    Watumishi wa umma we wasikie tu
  4. B

    JamiiForums Tanzania Wamasai wenye rasta walitulizwa na Masai rapa, mwenda pole hajikwai, alijikwaa baada ya kutegwa na jiwe kubwa, hakunyanyuka tena!

    Hatari hii hata kama sijaelewa code yoyote Mungu aepushie mbali
  5. B

    JamiiForums Tanzania Keep waiting , Barua ishaandaliwa

    Waovu wanastawi, Wema wananyauka.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Keep waiting , Barua ishaandaliwa

    Tz ni ya kipekee sana. Ubaya unashinda wema kadri siku zinavyoendelea. Nachoka mimi.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Jambo zito kisiasa lakaribia litatikisa, ni ama ajiamulie mwenyewe au wenyewe waamue

    lolote litokee tu kama ni kwa maslahi ya Taifa
  8. B

    JamiiForums Tanzania Museven na Abaganda

    Africa ina kina Mseven wengi. Ila huyu aliyeongelewa hapa ni wa Uganda bila shaka maana Abaganda ni moja ya kabila huko Ug.
  9. B

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tuorodheshei hapa mikoa kondoo yenye watiifu ambayo ilikuwa imepoa 29 October

    Rukwa na Katavi, sikusikia
  10. B

    JamiiForums Tanzania Keep waiting , Barua ishaandaliwa

    Haya mambo ni ya kitaalam sana
  11. B

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya ndani

    sijui kwa nini ila ninafikiria kizazi cha "baby boomers" ndo kimetufikisha hapa tulipo, na bahati mbaya sana bado kina nguvu kubwa na hivyo kuwa na 'influence" kwenye maamuzi mengi yakiwamo hayo yaliyogusiwa na mtoa mada 'MAAMUZI YA NDANI'.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya ndani

    chimpanzee, hahahaha
Back
Top Bottom