Recent content by buretajon

  1. buretajon

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mnamaliza lini kufuta bill mlizozitoa kabla ya mabadiliko ya bei? Mwezi sasa hakuna majibu
  2. buretajon

    JamiiForums Tanzania Nilidhani ukiingia mbuga ya wanyama Unaona wanyama kirahisi kumbe napo tabu tupu

    Katika maeneo matano mazuri ya utalii ndani ya nchi yetu Ngorongoro nayo ipo kitendo cha wewe kuona wanyama tofauti tofauti wasiofika kumi kinakatisha tamaa lkn nikushauri wakati mwingine uchague guide mwingine maana huyo uliyekuwa nae ni labda haijui Ngorongoro au mlienda kutalii mchana wa jua...
  3. buretajon

    JamiiForums Tanzania Out of nowhere, you receive this msg from your bae

    Hiyo msg sio ya kujibu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. buretajon

    JamiiForums Tanzania TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

    Pumzika kwa Amani Yona Fares Maro
  5. buretajon

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie Waandamana kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar Makonda

    Wameshawahi kujiuliza na wao movie zao zisipouzwa nje watapata hasara au faida? "Akili za mbayuwayu"
  6. buretajon

    JamiiForums Tanzania Watu wa fani ya ushushushu wanasema wana hisia sita hivi hiyo ya sita ni ipi?

    Ya sita ni hisia though sio mara zote huwa sahihi ila mara nyingi ni sahihi
  7. buretajon

    JamiiForums Tanzania Disappointment in love issues

    Shika sana kitabu mkuu
  8. buretajon

    JamiiForums Tanzania Hodii

    Sawa mkuu nilidhan mama yako anatosha lkn
  9. buretajon

    JamiiForums Tanzania Hodii

    Asanteni wakuu
  10. buretajon

    JamiiForums Tanzania Hodii

    Habari za sa hi wakuu...naomba kuongezeka kwenye Jumba hili
Back
Top Bottom