Jamani eeh Mnyonge Mnyongeni haki yake mumpe, jamaa yupo juu katika kukusanya mapato , kwa kifupi anatisha!
Big up JK, kata domodomo hizi, nakusifa kwa kuweka urasimu ktk kusamehe kodi kwa NGO NA mashirika ya dini, BAJETI IJAYO samehe kodi kwa Qurani na biblia tu, mengine yoote lipeni, eboo...