Maaskofu wa Rwanda walisababisha vita kwa sababu walikumbatia utawala wa kidhalim, watanzania wanakemea udhalim, na sio kila vita ni mbaya as long as inangoa utawala dhalimu!
maaskofu wa Tanzania kama walivyokuwa wa Rwanda hawana utawala mzuri au mbaya , kwao utawala ni ule utakaotekeleza matakwa yao!, hata kama udhalimu ukifanyika kama ule wa kuua watu 27 pemba, wao hawakutoa tamko la kulaani bali kuitetea serikali ya MKAPA, Waliamrisha jeshi kupitia tamko kuuawa kwa waislamu mwembe chai, Ndio mana leo tunawaona ni wanafiki tu wanaolinda maslahi yao ambayo kwa sasa wanadhani yapo zaidi CDM kuliko CCM ya leo, na kwa taarifa utawala ujao wakisha muweka kwapani Raisi ajaye hutasikia la tamko wala waraka na kuchanganya dini na siasa itakuwa marufuku tena!
unashauri waendelee kukaa kimya mpaka 2015?ok naona wachangiaji wote hapo juu wanakiri kuwa ni haki kwa viongozi wa dini kutoa maoni yao, na pengine mimi sibishani na hili sana , issue hapa kwa nini wakati huu, kama ni matukio ya kifisadi yalifanyika sana kipindi cha awamu iliyopita, ni kwa nini hawa viongozi wamekurupuka kipindi hiki cha JK, walikuwa wapi wakati madudu makubwa ya maangamizi ya taifa yanafanyika, ni kwa nini leo? kuna nini? ikumbukwe kuwa ni hawa hawa walituambia tumchague JK ni chaguo la Mungu, sasa ni nchaguo la nani? ni ufisadi tuu?
Nilizoea kusikia kauli za msichanganye dini na siasa kwa kasi kipindi chote kabla ya mwaka 2005, viongozi wa serikali , dini walisimama imara kuwakemea mashehe wakiwatuhumu moja kwa moja kuacha kujadili siasa misikitini. Kipindi hicho ufisadi uliokuwa ukifanywa na viongozi wa kisiasa haukuwa miongoni mwa mada za kujadiliwa, na watu waliojaribu kujadili walikemewa kutochanganya siasa na dini.
Nakumbuka mambo kadhaa ya kifisadi yalitendeka ambayo yamekuja kuwekwa bayana kipindi cha awamu ya 4 ya JK yakiwemo:
Katika mlolongo wa matukio ya kifisadi hapo juu, sikuwahi kusikia kauli za viongozi wa juu wa Makanisa kukemea au kuonya serikali juu ya kuwepo kwa ufisadi huo,aidha masuala ya Katiba Mpya yaliongelewa sana na Watu wa haki za binadamu na hayakupewa uzito wowote na wanasiasa na viongozi wa Makanisa, Miaka michache baada ya utawala wa JK ulitoka waraka kutoka kanisa Katoliki ulioitwa wa elimu ya kupiga kura lakini kwa kiasi kikubwa ukiongelea suala la ufisadi. Leo kuna vuguvugu kubwa la kutaka katiba mpya lililoibuliwa na , Viongozi wa kanisa wamekuja juu kushabikia suala hili la kisiasa, Kanisani na nje ya Kanisa . Imefikia wakati Kiongozi wa Kikristo -CCT anataka katiba Mpya ipatikane haraka iwezekanavyo, lakini baada ya utafiti wa kina kufanyika(Mwananchi tarehe 17/12/2010). What a controversial statement? ,eti iwe haraka, lakini baada ya utafiti wa kina, utafiti wa kina wa harakaharaka?.
- Ununuzi tata wa Rada (watanzania acheni uvivu wa kufikiri)
- Ununuzi tata wa ndege ya rais(hata mkila majani ndege ya rais itanunuliwa)
- Meremeta
- Mikataba mibovu ya madini ,ambayo ilifanywa kuwa siri awamu iliyopita,
- Kuuzwa kwa bei ya kutupa NBC, na ubinafsishaji tata wa Shirika la Reli
- Mkapa kujimilikisha mradi wa kiwira.
- Kuuza Nyumba za serikali kwa bei ya kutupa
- EPA saga
- Ujambazi uliokithiri (umehusishwa na viongozi wa jeshi na watawala ref. hotuba ya Mkapa Hakuna nchi isiyokuwa na majambazi, Marekani, Uingereza ..
- N.k, N,k
Hivi karibuni nimesoma tena Mwanachi, Maaskofu sasa wambana JK , ndani yake kuna masuala ya kisiasa ambayo bila shaka yaliyojadiliwa kanisani au viunga vyake.
Wapo wapi viongozi waliokuwa wanawakemea Mashehe wasijadili Siasa ?
Wapo wapi wazee wa Msichanganye dini na Siasa?
maaskofu wa Tanzania kama walivyokuwa wa Rwanda hawana utawala mzuri au mbaya , kwao utawala ni ule utakaotekeleza matakwa yao!, hata kama udhalimu ukifanyika kama ule wa kuua watu 27 pemba, wao hawakutoa tamko la kulaani bali kuitetea serikali ya MKAPA, Waliamrisha jeshi kupitia tamko kuuawa kwa waislamu mwembe chai, Ndio mana leo tunawaona ni wanafiki tu wanaolinda maslahi yao ambayo kwa sasa wanadhani yapo zaidi CDM kuliko CCM ya leo, na kwa taarifa utawala ujao wakisha muweka kwapani Raisi ajaye hutasikia la tamko wala waraka na kuchanganya dini na siasa itakuwa marufuku tena!
maaskofu wa Tanzania kama walivyokuwa wa Rwanda hawana utawala mzuri au mbaya , kwao utawala ni ule utakaotekeleza matakwa yao!, hata kama udhalimu ukifanyika kama ule wa kuua watu 27 pemba, wao hawakutoa tamko la kulaani bali kuitetea serikali ya MKAPA, Waliamrisha jeshi kupitia tamko kuuawa kwa waislamu mwembe chai, Ndio mana leo tunawaona ni wanafiki tu wanaolinda maslahi yao ambayo kwa sasa wanadhani yapo zaidi CDM kuliko CCM ya leo, na kwa taarifa utawala ujao wakisha muweka kwapani Raisi ajaye hutasikia la tamko wala waraka na kuchanganya dini na siasa itakuwa marufuku tena!
Kuna Pengo kajitokeza tena na kusema hakutegemea polisi kuua raia 3 mwaka huu lakini alitegemea polisi kuua raia 27 kule pemba awamu ya 3 ya utawala wa mkapa
kaeni na huo udini,na kulialia someni na tafuteni hela.nd nendeni vyou vikuu.kikwete,mkapa,mwinyi wamesomesha watoto wao!mbingu tutaenda binafsi na kufanikiwa ni juhudi zako!UDINi,UDINI hameni dini basi ...
Safi sana mkuu. Waeleze wakuelewe hawa ndugu zetu wenye utapiamlo wa fikra. Kazi kulalamika tu, siku zote wakati wenzao wanapiga hatua mbele.
Udini umewajaa, hadi machoni. Hawajioni walivyo duni kielimu na kimaisha kwa ujumla?? Wakati wenzao wanasoma na kutafuta hela, wao walikuwa wanalialia na dini yao. Aibu!!
Uchane upuuzi nendeni shule. Fanyeni kazi kwa bidii kuliko kupiga domo lisilo na tija.
Acha kumlisha ASKOFU PENGO maneno. Ni kweli alisema hakutegemea polisi kuua ARUSHA, but hakusema eti alitegemea polisi kuua 27 kule Pemba.
Huo ni unafiki wa kuongeza chumvi (exageration) ili utimize matakwa yako ya udini yaliyoujaza ubongo wako.
Ni aibu kijana kama wewe kuwa na fikra za kibaguzi kiasi hata kufikia kumlisha askofu maneno ilihali ukijua si kweli.
Ni aibu kijana kama wewe kuwa na mawazo ya kizee, mawazo makuukuu, yaliyochakaa, mawazo ya kibaguzi. Shame upon you!!
Ni vigumu sana kutenganisha kwa kuwa vyote mlengwa ni mmoja! Kimoja kinaongoza taratibu za maisha haya ya nje yaani ya mwiliu na kingine kinaongoza taratibu za ndani yani roho. Kama ambavyo si rahisi kutenga mwili na roho hivyo hivyo dini na siasa havitengani kirahisi. Mwili ukiwa na matatizo, roho yako haiko salama vilevile roho yako ikiwa na matatizo mwili wako pia hauko salama!