Jamani eeh Mnyonge Mnyongeni haki yake mumpe, jamaa yupo juu katika kukusanya mapato , kwa kifupi anatisha!
Big up JK, kata domodomo hizi, nakusifa kwa kuweka urasimu ktk kusamehe kodi kwa NGO NA mashirika ya dini, BAJETI IJAYO samehe kodi kwa Qurani na biblia tu, mengine yoote lipeni, eboo nchi haijengwi kwa maneno!, kuna yule mwenzako alipandisha mapato kwa kuuza kila rasilimali, wewe usifanye hivyo , wewe ni mzalendo nakujua, mambo ya dowans hayo ni ya ccm na ushindi wenu wa kishindo! ila wewe ni msafi, narudia tena ni msafi. Utakumbana na vikwazo vingi kutoka kwa maaskofu wanaoingiza magari binafsi na ya biashara kupitia misamaha ya kodi lakini komaa kiume, huyo PM wako si wa kumshirikisha katika hili, usiondoke ondoke atamuomba msamaha hadi Kakobe! , CONGRATULATIONS!
najua wengi mtasema tatizo ni matumizi, mpo bungeni sasa , ingieni na agenda binafsi ya kupunguza mishahara,viinua mgongo kwa wabunge na posho siziso na hesabu , bila kusahau ruzuku ya seriakli kwa vyama vya siasa.jamani tujenge nchi, Ikulu mtafika kwa mipango sio kukurupuka
Hayo mapato yako wapi mbona serikalini hakuna kitu!
<br />Hayo mapato yako wapi mbona serikalini hakuna kitu!
CRAP!!!!!!! kwa aliyemuelewa atusaidie!!
Sasa hayo mapato yamekwenda wapi, mbona hazina imekauka?KIKWETE ameweza kukusanya mapato kuliko rais yeyote aliyetangulia Tanzania! ...
Ninatilia shaka uelewa wa mtoa mada.Aidha hajui anachokitetea au ushabiki unamuongoza na kushindwa kujua ni wapi anaelekea.Nadhani atakuwa Tambwe Hiza huyu ambaye aghalabu anaishi kwa ruzuku au ubongo wake umekuwa diluted.Lete numbers unapotaka kutoa hoja kama hiyo.
CRAP!!!!!!! kwa aliyemuelewa atusaidie!!
1) Ma Universty Mengi kwa wakati mfupi wa Kikwete kuliko awamu yoyote ile, pamoja na mkoloni! Jee, na hilo hamlioni?
Jamani eeh Mnyonge Mnyongeni haki yake mumpe, jamaa yupo juu katika kukusanya mapato , kwa kifupi anatisha!
Big up JK, kata domodomo hizi, nakusifa kwa kuweka urasimu ktk kusamehe kodi kwa NGO NA mashirika ya dini, BAJETI IJAYO samehe kodi kwa Qurani na biblia tu, mengine yoote lipeni, eboo nchi haijengwi kwa maneno!, kuna yule mwenzako alipandisha mapato kwa kuuza kila rasilimali, wewe usifanye hivyo , wewe ni mzalendo nakujua, mambo ya dowans hayo ni ya ccm na ushindi wenu wa kishindo! ila wewe ni msafi, narudia tena ni msafi. Utakumbana na vikwazo vingi kutoka kwa maaskofu wanaoingiza magari binafsi na ya biashara kupitia misamaha ya kodi lakini komaa kiume, huyo PM wako si wa kumshirikisha katika hili, usiondoke ondoke atamuomba msamaha hadi Kakobe! , CONGRATULATIONS!
najua wengi mtasema tatizo ni matumizi, mpo bungeni sasa , ingieni na agenda binafsi ya kupunguza mishahara,viinua mgongo kwa wabunge na posho siziso na hesabu , bila kusahau ruzuku ya seriakli kwa vyama vya siasa.jamani tujenge nchi, Ikulu mtafika kwa mipango sio kukurupuka
Mkuu, unalinganisha figure au thamani ya hiyo fedha? Tanzania inaimport vitu vingi vya muhimu kama vile madawa, sasa tukitaka kununua lazima tutoe U$ Dollars na si shilingi za kitanzania. Sasa kama kwa wakati ule wa miaka ya 1990 uliweza kununua unit fulani ya madawa kwa sh. billion 1, na sasa hivi billion 2 haitoshi kununua unit hiyo hiyo ya madawa, huoni kwamba figure ya mahela is nothing kama hautazingatia na mambo mengine? Ulitegemea kodi aliyotozwa mfanyakazi mwaka 1990 ndio hiyo hiyo siku hizi za JK? Unadhani VAT aliyotoza Mkapa ndiyo hiyo hiyo kwa figure anayotoza JK, wakati bei za bidhaa zimepanda kwa kiwango kikubwa? Usipojiuliza mambo, utamshangilia sana JK, lakini ukijiuliza vizuri, utashangaa kwa nini aligombea tena 2010!unauliza source? Hotuba ya Pinda Bungeni akifunga mjadala wa hotuba ya raisi
figure? more tha 400bil / month